@salmasaid_znzyetu: MADEREVA WATIIFU WAPONGEZA NA WENYE KUKAIDI SHERIA ZA BARABARANI KUSHUGHULIKIWA

Salma Said
Salma Said
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 07 October 2026 16:58:04 GMT
11659
453
16
48

Music

Download

Comments

user630335395
South Africa 🇿🇦 :
Police of Tanzania 👎👎👎👎👎👎👎👎
2026-10-07 20:43:20
0
tamim453790
Tamim45 :
wanafunzi wanateseka uko uhalifu watu wanakatwa mikono ssi tupo na vyombo vya barabarani nchii hiii
2026-10-07 17:57:17
4
nawwar.sultwaan
nawwar sultwaan :
hio ndio Zanzibar 😂🤣😂😂🤣dah mtihani sana
2026-10-07 19:57:10
2
user5624100452297
user5624100452297 :
mtu mwenye mamlaka anaweza kupanga jambo vile anataka,mm kosa la helment sina ubaya nao ila haya mengine tuhurumiane jamaa
2026-10-07 17:55:00
2
akamamau89
yakubis-hakaussi :
hongereni kwa hili
2026-10-07 17:17:12
1
esca_de_ilha.38
chicô maré_de_zanzibar :
afriKa
2026-10-07 21:03:15
0
zahorsaid17
@zahorsaid :
iyo nkufanya byashara na awo matajr t hakuna kengne kufatutakufa t helmet halsaid kt
2026-10-07 18:54:40
0
jeymgaza
mr jey 4 :
mimi sipasishi kwanini muweke bima lazima na sifaidiki na hio bima
2026-10-07 18:03:05
0
abdilahsimai5
abdilahsimai :
askr wa znz wavivu hayana muda ayo watashindwa
2026-10-07 21:07:48
1
tamim453790
Tamim45 :
hemu tuweke operesheni tokomeza ujambazi na wizi
2026-10-07 17:57:34
3
ctyamiry
ctyamiry :
wajikaze waache kwa manufaa Yao wenyew na mbio wapunguze pia
2026-10-07 17:39:39
1
user919696982
mustwafa abuubakar :
kwahio ukivaa helmenti mauti hayawez kukufikia🤣
2026-10-07 17:57:05
0
muddywise
Muddy wise :
Mradi huo tushashtuka madukani helmet kununua kwa foleni na yashaisha
2026-10-07 17:39:25
1
haji.mohammed214
Haji Mohammed :
nyie fanyeni zulma tu
2026-10-07 18:56:25
0
skynamriha023
official 093 :
hamuwavhi
2026-10-07 20:47:43
0
To see more videos from user @salmasaid_znzyetu, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About