@lutystar3: KILIO CHANGU Part 80 Baba Nadia anatoa uamuzi wake wa mwisho kuhusu Dorian, Nadia na mtoto anayekuja. Anakubali uchaguzi wa Nadia, lakini msimamo wake wa dini unabaki palepale. Je, huu ndio mwanzo wa amani kati ya familia hizi? #africanstories #lutystar #storytime #creatorsearchinsights #plottwiststhatkeepviewersin
Lutystar
Region: TZ
Wednesday 07 October 2026 16:59:48 GMT
Music
Download
Comments
cheruyot Girls :
naomba mungu anipatie bwana kama Dorian❤️
2026-10-07 17:07:00
21
PABLO,,05 :
enjo akifel ntafurah
2026-10-07 20:45:30
3
Bin Moh'd :
jamani tutumie mfano wa imani ya baba nadia katka familia zet
2026-10-07 18:26:52
17
Miss Kitundu :
wameniuz na mimba yao bila ndoa cjui wakoje
2026-10-07 17:29:50
7
MR LIQUIDITY📈 :
mbona haujaonesha mimba ilipoingia tutajuaje Kama ni kweli au wanatudanganya
2026-10-08 07:10:58
2
cleopatraTZ🤩 :
dorian si awe shekh tu😂😂😂
2026-10-07 22:21:29
3
maimunaame :
kwa nn doriyan hatak kubadili din?
2026-10-07 18:26:16
4
Mussa Nasser :
mm naona dorian na angel watafanya kazi sehemu moja na dorian atamuoa angel na uyo mwingine hhhh
2026-10-07 20:54:25
8
maneno ya mzee baba nadia leo kaongea ponts sana unajua kuna wengine tumeyapitia hya mpka.leo.watoto.watatu lkn mzee.kama.ba nadia hadi.leo 😃😄😄😄😄😄
2026-10-08 10:39:08
3
Mongu.JR :
mjomba wetu sio mnyonge kumbe 😁😁😁😁 safi anko
2026-10-07 22:26:49
5
Neema@28 :
mjomba uko sawa kabisa Nadia ndiyealiemfuata Dorian
2026-10-08 20:14:29
1
bbnnnn :
next
2026-10-07 18:25:30
1
Laetitia Mwali :
Mwedelezo
2026-10-07 20:07:22
1
console ucanda kacwiny :
la suite
2026-10-07 20:18:30
1
moise tumaini :
next
2026-10-07 19:08:16
1
Boychild wa mummy 💖💖💖💖 :
next
2026-10-07 17:44:30
1
user945091436614 :
next
2026-10-07 17:35:47
1
it is ratifa 🦋🦋 :
next
2026-10-07 17:35:41
1
HASSANI MNYAMILI :
baba Nadia anathibitisha kuwa mlezi mzur wa familia juu ya msimamo wake kuhusu dini.
2026-10-08 10:54:53
1
KNA :
Hapa hakuna upendo wowote, dini haijawayi zungumuza alafu nyiye wenye akili muna vurugana na mambo ya dini si waachane kila mutu aendeleye kushika din
2026-10-08 19:44:09
0
André Kisuka 🇨🇩 :
next
2026-10-07 17:54:32
1
Anitha Inaneza :
next
2026-10-07 18:50:10
1
ismail hamad :
mm naona Dorian anaweza kubadili dini 🥰🥰
2026-10-08 18:33:45
0
jj :
bab nadia kaanz kujaa kwenye mfumo
2026-10-07 20:18:21
2
Rotisa :
weeh naomba tu Mungu afanye enjo apite mtihani pengine Dorian atamrudia
2026-10-07 17:32:18
2
To see more videos from user @lutystar3, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.