wkt mwengnine tunaweza kusema tunapotoa swadaqa ama zakka tusichukuwe picha wala video ila ukija upande mwengne unagundua kuwa hizi video zinazohusiana na utoaji zina faida yake mna kuna wengne wanapoziona hizo video na wanauwezo wa kutoa basi wanajifunza na kupata hamasa na wao kutoa km wengne
2026-10-08 07:27:09
164
Kambi Junior🍓 :
what make cry is how he really Appreciate from bottom of his heart🥺🥺🥺 may Allah give us more and make us be part of bring joy to our fellow brothers
2026-10-08 07:26:03
6
يَسًمِن 📿 :
why am i crying😭
2026-10-08 13:52:48
1
Amina Kazigo :
WAISLAM WENZANG TUSIACHE TUSIACHE WAISLAM
2026-10-08 09:23:34
24
B🔥🔥O🔥🔥B👊👊*123* :
Respect broo
2026-10-08 15:06:13
0
Ruwaida :
😭😭😭inshallah soon allah anijalie mninunulie mzee wang miaka mingi Sasa anatembelea baskeli😭😭😭
2026-10-08 11:12:49
13
Seyran :
nalia mimi
2026-10-08 15:10:47
0
nurcute🥰♥️ :
ni moja ya ndoto zangu kuwasaidia watu
2026-10-08 13:13:20
6
PILATO_GANSTAR🎮 :
me niseme ukitoa sadaka bc mkono mmoja usijue kw7bu kuna hasad na mungu halipendi hili si kilakitu kuonyesha
2026-10-08 09:06:27
10
Ahmet 🌸🌸 :
wangapi walidhani atanunuliwa pikipiki mpya😅
2026-10-08 11:39:28
13
sheby 01 :
Tusiache kumuomba mungu jamn anqwezaa kukupa hitaji lako ata wakati ushasahau
2026-10-08 08:36:05
9
Bituni Hednton :
Haki nimelia mngu tupeuwezo nasis wengine ili tuweze kusaidiana
2026-10-08 11:05:02
8
Farida Hassan :
mashaallah🥹🥹🙏
2026-10-08 08:29:17
0
Axhley khan😘 :
Hii vdeo imejua kuniliza wallah😭kweli mungu hamtupi mja wake..kam ni ridhiki yako itafika hata kwa kuchelewa lkn ipo siku utapata🙏..Allah akujaalie ww uliotoa akupe zaid ya unavyovimiliki..Na Allah alibaliki tumbo lililobeba mimba huyu kaka mashallah🥰🙏