@munguanaweza1: GRACE LICHA YA KUFANYA VIZURI NA KUCHUKUA VYETI VYOTE, WAZAZI WAKE HAWAKUWEPO KWENYE MAHAFALI kutana na mwanafunzi aliyefanya vizuri katika mtihani wa kidato cha nne, baada ya kuchukua Vyeti vyote vya kidato hicho katika Shule ya Sekondari Julius Kambarage Nyerere, iliyopo Tarime, Mara. Licha ya kufanya vizuri katika mtihani huo, mwanafunzi huyo hakubahatika kupata wazazi wala mlezi katika mahafali hayo ya kidato cha nne
Wachana na hyo mm nipo na graduate chuo kikuu siku hyo hyo mamangu a kafariki bora ata yeye wazaz wapo Ila ni hawajafika😭😭😭
2026-10-08 03:29:06
28
Clara Panyika :
mungu aendelee kumpa ujasiri
2026-10-07 20:38:10
9
Prosper🚫📌 :
msikuze mambo bhn wazazi wake walichelewa kufika walkut zoezi la ugawaji wa vyeti limeshaisha ila matukio mengne walishiriki vzuri tu
2026-10-08 04:30:23
16
blessed girl :
huwezi jua kwan hawakuwepo huenda mazingira hayakiruhusu kabisa nanikuhakikishie hakuna mzaz anaetaman mwanae awe pekee yake ila hubidi kutokana na maisha kipenz.
2026-10-08 09:03:58
8
Mumy G :
Kuna mwenzetu alipitia hiyo hali hakuna mwakilishi aliyeudhuria mahafali yake kumbe hiyo siku ndio walikua wanawazika wazazi wake walipata ajali wakiwa njiani kuja shuleni walipanga kufika siku moja kabla lakini wakaishia njiani so huwezi jua Mungu ampe ujasiri huo na nguvu ya kusonga mbele zaidi 🙏 🙏