@drjimmytz: Hedhi zako hazina mpangilio na sasa unatafuta ujauzito? Mwezi mmoja inakuja mapema, mwingine inachelewa—hii inaweza kufanya iwe vigumu kufuatilia siku zako za uzazi. Niandikie “MIMBA” inbox nikuelekeze hatua ya kwanza. Nipigie kwa msaada Zaid +255620165254