Oya acha kupotosha watu gasbaiuwi gari nikuto fanya service kwa wakati na kutumia oil sahihi mm nimefunga gas toka mwaka 2019 adi sasa gari imefikisha kilometers 416000+ nasijawai fanya ovar all
2026-10-08 06:57:36
6
barakapeter17 :
hizo ling sio piston
2026-10-08 06:22:47
0
user1138666503183 :
mm huwa nawashangaa watu wenye hivi vigari...wanashindwaje kuvi maintain vizuri hadi vinafikia hatua hiyo
2026-10-07 20:41:03
4
herrykafuku :
elimu muhimu fund gari kuwa ndani ya mwaka haimainishi ubovu ungesema km ngap limetembee ningekuelewa asilimia kubwa tuna uwa magari kwa oil feki, ya engine tunatumia hayo magari na tuna km nyingi sana ,hayo mtatizo hutokea ukiwa hufanyi sevisi kwa wakati kikubwa ni savisi ya engine ifanywe kwa wakati Asante
2026-10-07 23:42:06
3
Mussa Lameck :
mjapan kasema engine itumie nishati aina gani? na wewe unatumia aina gani?... sawa inatembea je ni sahihi?
2026-10-08 15:24:19
6
班傑明 :
sio piston ni piston rings zinaitwa
2026-10-08 05:35:14
0
Alhabiby_sam :
sasa zilizokatika ni piston au rings mzee
2026-10-08 14:25:42
0
Mr Berry :
Mtu anatumia IST anaweka na gesi Duh!
2026-10-09 16:41:32
1
leneh_collection :
Upo sahihi mkuu
2026-10-08 07:06:30
2
ford🎟 :
iyo piston sio ling piston vichogo
2026-10-08 07:21:48
2
Chesco Silla :
hatari
2026-10-08 03:08:22
1
Mtalicy :
vi injini vidogo ukifanya overall hakuna mchongo hapo ni anunue mswaki tu
2026-10-09 16:44:19
0
VALLE VERULI :
kaka wewe unasema ukweli kabisa
2026-10-08 06:43:23
2
s!s£l@ :
ges sio tatizo tatizo wamilik wa vyombo
2026-10-08 19:00:27
0
kakachone :
Niliwaambia wateja wangu hawakunielewa; joto la gesi na la petrol ni vitu 2 tofauti
2026-10-08 18:33:18
0
MUNTA MUNTA :
ila haya malalamiko nmeyasikia ata kwa madereva wa bajaji wanasema gas inakula sana cylinder head
2026-10-09 08:20:07
0
extra boll :
upo sahii kaka jamani kuliko kuifunga gesi gari lako liuze nunua ya umeme
2026-10-09 09:22:11
0
kakaake :
sio gas mnawasha gari bila kusubiri oil ipande mtu anaondoa gari mda huhuo ea kuwasha
2026-10-08 06:16:31
0
Godifrey :
Kwanza kabisa ni gas,maana mlipuko wake ni mkali kuliko wa mafuta,joto lake ni kali likikutana na oil ya kupima,oil inakuwa maji,ring zinakosa oil ya kuzilainisha,sinakatika.
2026-10-08 18:45:03
0
G magar TZ :
huwo ni uzembe wa mwenye gar usise n ges
2026-10-08 07:01:03
0
Erney machinda :
azakatik Hz ringi acha uongo 🤣🤣🤣
2026-10-08 03:29:32
0
CNG WORKSHOP TZ👑 :
wew Fanya kazi zako usingizie Kuna watu wanatoa Zaid ya miaka6 CNG
2026-10-09 03:56:35
0
Hazad msang :
💯😎
2026-10-09 20:05:51
0
To see more videos from user @swayautomechanical, please go to the Tikwm
homepage.