@just_phoness: #tanzaniatiktok#goviral#tanzaniantiktok🇹🇿fyp

just_phoness
just_phoness
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 07 October 2026 19:58:12 GMT
13692
294
12
102

Music

Download

Comments

nonchalant..gee
nonchalant..gee :
Sibola utangaze hyoo mazda hapo mbele tuongezee hela
2026-10-07 22:05:45
5
amini.emmanuel33
Amini emmanuel :
We unayo
2026-10-08 09:35:47
1
papaiwemba4
Papa Iwemba :
haaaaa nikienda keko narudi na ist 2 na full tank 2 month
2026-10-08 10:24:33
0
salafii_only
salafii_only :
Nakuja na ist ya ma dogo unipe hio
2026-10-07 20:05:40
1
alyah.ahmed2
Alyah Ahmed :
Hii itakua kwenye joto inakupa baridi ukiskia njaa inakupa msosi
2026-10-07 21:19:11
0
kifaranga10
..✨️kïfårängå✨️.. :
Kumb kuna gar inaitw Huawei na hamsemi
2026-10-08 07:13:36
0
daddycool88
GoDWiLl :
ninayo ila imekufa kioo nitafutir cm nzuri yeyote nikuachie iko fullbox niliinunulia japan
2026-10-08 11:55:57
0
mr_china_mobile_phone
MR CHINA MOBILE PHONE :
Ndio maana hizi simu mpya sitaki kabisa kuzileta. shida ni watanzania huwa wanazani simu ni bei rahisi kama tecno na mhorse. unakuta mteja anakwambia una huawei pura 90 ultra halafu hapo kaulizia simu ya 300,000. sasa hapa utaona comment za majuba wenye fikra za kimasikini yan hapo walitaka useme laki 4😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
2026-10-08 08:05:19
0
ramsonmahela
ramson💕 :
Bora nimtafute dalali wangu @Ommy Junior2️⃣6️⃣🌍🔥 Anitafutie alphard ya Milion 12 😂
2026-10-08 07:55:44
2
anatoly.paulo
Anatoly FURNITURE :
🥰🥰🥰
2026-10-07 21:11:22
0
To see more videos from user @just_phoness, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About