Dr inawezekana mwanamke upata ute wa ovulation na asipate mimba?
2026-10-08 09:37:58
3
mima pachey :
docta na vipi ukiambiwa ukuta wako wa kizaz umekuwa mpna je kunatiba yoyote
2026-10-08 14:34:20
1
user2318447038790macy :
mimi dr niko na p i d nitafanyaje
2026-10-08 20:16:10
1
rastonmerina :
hili somo ni lang kabisa
2026-10-14 12:19:58
2
mileillemaiko :
dokta mm ninamik 6 tokea nijifungue sijaon sikuzang nifanyej
2026-10-08 18:57:45
1
mrs vano :
Dr naomba uniambie Daw ya kukomaz mayai inatumikaj kila mtu ananiambia nikianz period ND nitumie
2026-10-25 11:09:20
1
Aisha Mohamed :
yangu Iko na maji
2026-10-08 12:56:55
1
mam mbega :
dr mi nitakuja najipanga
2026-10-08 14:16:03
1
Suzana zabron :
mm naomba nissidie mirija yangu imeziba yote
2026-10-11 03:34:07
2
user1062983751080Grace :
ile dawa inauma mmh
2026-10-09 19:15:19
3
BUSINYA FEZA :
nielekeze
2026-10-22 17:21:07
1
jojo_drama :
nakuelewa San Dr
2026-10-08 20:07:24
1
Sarah G :
Dkt wa wengi🥰
2026-10-07 20:44:42
1
Crescensia :
unapatika wap?
2026-10-08 06:32:48
3
Salome Malongo :
jaman mimi imeziba dawa gan dokta
2026-10-25 23:02:43
1
Zawadi :
yoooo 😢😢😢😢😢
2026-10-16 14:13:23
1
Gertrude :
Niko Malawi 🤲
2026-10-08 09:11:50
1
Aisha Mohamed :
overian syst
2026-10-08 12:57:07
1
Ashaz :
docta mm tokea nimejifungu mtoto sasa anamiaka 14 sijashika ujauzito na nasikia mamivu makali chini ya kitovu ukeni nasikia kama nachanwa na viwembe nikikaribia kuingia kwenye periodi hii hali inanitesa sana naomba nisaidie
2026-10-15 21:37:14
1
big is big :
p I d nimeugua kwa mda mler bila kutibu nimtibu imepona ila mimba sipati nipo naangaika Ata sielewi mm
2026-10-08 21:14:13
1
happy ntete :
mm nimepima nimeambiwa imeziba nifanyaje
2026-10-23 13:34:51
1
Skyline😍 :
nimetoka kufanya Hsg lakin natokwq na uchafu ulichanganyikana na dam kam na ute ute mweusi je shida nn?
2026-10-10 09:01:00
1
jita :
dr mm nlipma mlija ila ipo sw na homon nlipma nkaambiwa ipo sw shd angu cpati hedh jaman shida yaweza kuwann??