@emmydaproh16: Yaaan hakuna vita vya kipuuzi😂😂#tiktokinternational #tanzaniantiktok🇹🇿 #vairalvideo #memes

Ęmmy_khäñ🎀💟
Ęmmy_khäñ🎀💟
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 07 October 2026 20:30:14 GMT
37399
1777
185
1180

Music

Download

Comments

raniya4878
Raniya :
[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]na tanzania ingekopa mawigi china
2026-10-08 03:09:15
34
ishah.alley
Ishah Alley :
na ile taarabu ukitaka kupigana njoo ndo wimbo wa taifa😅
2026-10-08 06:43:47
59
shadyaabdul82
Shadya Abdul :
Mara Tanzania imegoma kukata sare ya usiku wa chai ya husda ya Kenya
2026-10-08 05:01:27
62
vernation1
Vernation 🦋🥰🥰 :
Navazi la taifa lingekua vijora
2026-10-08 06:11:59
16
devie.m.chaz
MR GunMan MTZ🇹🇿 :
Mara Uskie Urusi Yaijia Juu Tanzania Baada Ya Wazir wa Mambo Yandani Kuichamba Africa Yakusini Habari hizo zimechapishwa kutoka Kwenye Media Ya serikali Ya Tanzania iitwayo MBONA PAMBEE kutokea Dodoma 😂😂😂😂
2026-10-08 09:50:04
18
shafiurugemalira
𝔰𝔥𝔞𝔣𝔦𝔦 𝔨𝔦𝔫𝔤🇹🇿 :
oooooooooh my lord nachanganyikiwa mm
2026-10-08 07:31:57
2
official_jozy
Jozy :
mungu leta elnino huruma sio malezi
2026-10-08 08:05:30
18
revivalgregory831
Revival G :
hii nchi Kuna sehem imetoboka
2026-10-08 03:00:09
26
mamykiss3
quety mamu :
mara tanzania yaivua wigi marekani
2026-10-08 10:31:25
10
irenemathias219
she's rynee✨🦋☘️🖤 :
mara usiku wa heena Tanzania na Kenya 😁😁
2026-10-08 05:46:43
15
rehema8800
Rehema :
mara Tanzania imechukua pesa ya marejesho imefunga sare imevuka mipaka imeenda kuwachamba japan
2026-10-08 03:51:13
18
gift.baraka1
mama 🎁 💝 :
mara Tanzania yaenda na matarumbeta kuichamba Ukraine baada ya kugoma kurudisha fadhira😂😂😂😂🙌
2026-10-08 12:25:06
6
shadear18
🦋shadear💞 :
Nimecheka hadi nimepariwa na kipolo changu cha wali mchicha😂😂😂
2026-10-08 06:57:43
7
mzed_events_servic
@Mzed_events_services :
usikute mbinguni Tanzania ni Chanel ya vichekesho😂😂😂😂
2026-10-08 09:52:49
5
teebae740
Tee💋💫 :
natafuta comment ya wanaume😁😁😁
2026-10-08 06:47:54
3
flowevvs828
flower :
[Tears of joy]
2026-10-08 03:29:58
0
saluuseba
aiem kado :
jmn usiku huu naogopa kucheka kwa saut kwetu kuna wachawi🤣🤣🤣
2026-10-08 05:39:16
5
black_t32
Black tea :
Waziri wa michezo wa Tanzania amemtaarifu raisi wa Kenya kuwa mchezo unaanza mwezi wa kwanza mwakani
2026-10-08 06:58:36
8
username_zaynab
zaynab🧕 :
ila watanzania alietuibia akil zetu mungu anamuona 🤣🤣🤣🤣🤣
2026-10-08 03:12:16
5
little.hyper76
Little Hyper :
Dah, hii nchi siiwez😂😂🙌🙌🙌
2026-10-08 16:38:20
3
user10484587151586
husna tz :
mawazo ya 2030 mtabili mwanetu😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
2026-10-08 13:33:22
1
chioma.mideco
chioma mideco🦋🦋 :
asa uliwaza nn mwanetu
2026-10-08 09:09:43
1
triple.a329
Triple A🫅 :
gudubaiiii 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-10-08 06:39:31
1
user2739222744857
ney cute :
ila wadada jaman tumewakosea nn 🤣🤣
2026-10-08 17:00:01
1
hadiaapretty
Diyah 🦋♥️ :
mara rais wa marekan katembea na mume wa rais wa kenya😅😅😅
2026-10-08 14:59:48
2
To see more videos from user @emmydaproh16, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About