I love love love my brothers and sisters from Africa ,my neighbors are from Nigeria,and Cameron in Africa ,I use to go to a Christian Nigerian church ,I pray faithfully for them and all my brothers and sisters all over the world . Blessings to all in the mighty name of Jesus Christ our Lord and Savior 👑🕊️🙏🏻❤️
2026-10-09 17:19:46
4
happy ipoo 😜 :
kuingia tiktok nirahis ila kutoka sasa 🤣🤣🤣🤣🤣
2026-10-12 14:01:54
4
eagle boy :
oya kwenye maisha yakawaida tunakutana na vitu vingi sana maumivu kibao kwahiyo kama kwasisi walokole hatuna sehemu nyengine yakuenjoy zaidi ya kanisani2 yani unasahau shida
2026-10-09 13:02:48
7
Da Linah 💗🔐 :
MTU ASITIKISIKE MILELE 😅
2026-10-08 12:12:47
3
Janeonlinepay :
Raha saan jaman👏👏👏👏
2026-10-08 05:21:02
17
sumuni :
huyo mwenye overlol ni mm kabisa 😃hapo nimeshalipa zangu kodi ya nyumba miezi sita sudaiwi #songesha nina bando la gb1 na ndani kuna stock ya chakula na kias frani cha pesa aaaah😃🙌 elnino na ije tuu📌
2026-10-09 11:09:18
3
PETRO WA PILI% :
kwa Yesu Kuna musalaba siyo Raha
2026-10-08 10:49:07
1
Prisila Naftal :
kama ujawahi kufanyiwa kitu kizuri na Mungu huwezi elewa raha iliyopo hapo
2026-10-08 11:22:21
10
veeh_beauty studio :
Hii inaitwa usifuatishe namna ya dunia hiii😂😂😂😂
2026-10-08 08:04:15
3
G @~~*ak🍷oo📖 :
jmn mtu asimtumainie bwana sasa 😂
2026-10-08 06:53:22
6
Jacker welding :
Kuokoka raha sana😂😂
2026-10-08 13:45:14
6
Eliza machumbe :
nimepamiss kwetu congo😍
2026-10-09 19:08:22
1
Dai David :
Yesu mzuri bhna🔥🔥🔥🔥
2026-10-08 14:25:05
2
MR UNSTOPPABLE FX :
mwenye uwanja wake kafanyaje???
2026-10-08 16:39:19
0
MAGE :
yaan Kwa yesu ni raha sana unaweza kujihs uko mbinguni tayali