@binaupdates: Unaambiwa hapo ni mke wa mtu akiwa na ex wake wakizungumza kwenye kibao kata

Bina Tv
Bina Tv
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 08 October 2026 00:42:04 GMT
82409
3241
111
70

Music

Download

Comments

umkuruthum3
umkuruthum :
zai sizan kama bado ndoa ipo
2026-10-08 04:52:08
46
official_hope1
Hope🤍 :
NDOA MIIIIIYOO[Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-08 07:54:39
0
mrs___muu
Mrs ____muu ❤️❤️💍 :
uyo mumew ana moyo
2026-10-08 03:33:05
30
zuh_50
Zuh50 store :
hapo dulah roho kwatuuu😂🥰
2026-10-08 04:42:49
17
farida.msuya2
Farida Msuya :
wanapendanaaa bado
2026-10-08 06:30:36
10
mamu.wa.dar40
Mamu Wa Dar :
Mahawara hawaachani wewee[Tears of joy]
2026-10-08 03:18:07
14
christinashaban266
Christina Shaban :
kuna watu wanamoyo yaan huyo dula alivyokuwa anakashifu na kumuimba juu lo mm siwez
2026-10-08 09:06:45
4
ummy697
🦋jojo🦋 :
hiyo taarabu mmeisikia kwanza
2026-10-08 04:07:55
12
momyaliyah1
didah msusi . :
kwan lazima kununiana ukiw uwez ongea na x wako ujue ujamove
2026-10-08 08:25:12
3
tiffanycollection23
💙Itz-Tee Mjr 🛍👣👑 :
uzuri watu wanaopendan wanajukikan
2026-10-08 11:27:33
0
jojo.love9268
💋💋Nilam wa Mudi 💋💋 :
sasa iyo nyimbo mna muimbia dulla kosa lake nn na mme mwalika wenyewe jamni 😂 nachoka mm
2026-10-08 04:43:48
6
mama.ney33
mama ney❤️ :
jaman mm na ex wangu tunafanya had biashara yan hatuna chuki ananipa mzigo wa lak 9 nauza nampa hela chuki za nn
2026-10-08 07:55:36
5
fatma.ashraf049
Fatma Ashraf🌸 :
Hakuna ndoa hapo
2026-10-08 04:33:21
9
babilebora1
babilebora315 :
kuna kitu
2026-10-08 06:25:59
3
rosesimon515
rujaina wa donyo :
iyo ishaisha iyoooooooooo
2026-10-08 05:17:38
3
user62746572482488
user62746572482488 :
Mpira umerud kwa kipa🥰🥰🥰
2026-10-08 03:40:14
5
am20334
aM♌️ :
Hii ni kapo nawaambia😂😂😂😂😂
2026-10-08 06:46:36
3
kuluthumumohamed5
kuluthumumohamed5 :
wanapendana hawa tena mwanaume ndo kuzidi
2026-10-08 08:50:47
1
user9560028690516
cute ney🥰 :
kuachana na mtu so vita jmn inategemea na mtu mwenyew 🤣🤣🤣
2026-10-08 07:24:55
0
aishatz51
Aisha tz💞🦋 :
hiki kibao kata kilikuwa kina husiana nanini kwanza
2026-10-08 07:33:50
0
rach39872
tina#01 :
kusema ukweli huyu ndio mume wake maan huyu kaka anampendaa sana huyu dada
2026-10-08 05:03:17
4
zehra16526
🌹🌹zehra :
mh hawa waskarudiana😂
2026-10-08 05:44:48
2
dida.dubai
Dida Dubai :
zai anampenda makabila
2026-10-08 08:45:11
1
nunurz
Joan -Collections :
Ila Hawa wanapendana akiiii😂😂😂😂
2026-10-08 05:16:39
2
its._bright30
MOMO BRIGHT🦋🎶😘💫💦 :
Mkifanya masihara hiiiii wanarudiana
2026-10-08 07:11:04
1
To see more videos from user @binaupdates, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About