@officialruby_: Unajua unataka kuacha… lakini kwa nini unarudia tena? Wakati tabia fulani inaanza kuwa ngumu ku-control, ni muhimu kuangalia pattern iliyopo nyuma yake, si kujihukumu tu. Stress? Boredom? Loneliness? Kujua trigger yako inaweza kuwa hatua ya kwanza ya kubadilisha pattern. Usiogope kuzungumza na mtaalamu. Afya ya akili na tabia zako pia ni sehemu ya afya. 🧠 Save hii video huenda ikawa reminder unayohitaji leo.

Neralabs_Tz
Neralabs_Tz
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 08 October 2026 02:54:07 GMT
12866
382
5
49

Music

Download

Comments

bright78123
bright $$ :
tupo weng
2026-10-10 08:20:56
0
kanyo1999
𝖐𝖆𝖓𝖞𝖔☤ :
me nahisi ungeichukua simu yangu tu maana nahisi sina minu nyengine
2026-10-09 22:23:12
0
iyaam.q
.. :
Doctor umetisha sana...✊🏽
2026-10-09 19:03:41
0
thabit.hamisi6
me :
kati ya kuangalia porno na kupiga nyeto kipi kinaafadhali kufanya
2026-10-08 13:50:58
0
To see more videos from user @officialruby_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About