Daaaaaaaaaahhhhh… what an old good days we miss… when dance was dance
2026-10-08 11:08:46
0
Muziki Wa Dansi Africa :
Hauna Video
2026-10-08 17:20:57
0
Denis Malima :
Skiliza kibord Hio. sjui Nani halipiga hio
2026-10-08 16:58:01
1
Clever Bonyventure :
hii nyimbo ukiwa huna baba ndio utaielewa vizuri 😭😭
rest in peace baba yangu nakukumbuka San kila niisikiapo hii nyimbo
2026-10-08 13:35:06
7
hemedhosen :
Anaitwa Prince Mwinjuma Muumin kocha wa Dunia mwana Buguza mtoto wa Pande za Bagamoyo... kama anavyomuita Abubakar Sadick wa Radio One
2026-10-09 13:53:15
1
MTEPEKA MOTORS :
naomba nyimbo ya mwinjuma maisha ya binadam htofautiana
2026-10-08 04:01:41
1
Maalim Sudi🇹🇿 :
Hii ipo kwenye albamu ya "Mgumba"
2026-10-08 07:20:06
1
chichi_bella✨ 🦋 :
Alafu kunaile inaitwa maisha kitendawili nyieee🙌
2026-10-08 17:58:17
1
EDWARD A.M.M :
Kilio cha Yatima wa Double M Sound ("Wana Mshikemshike") ni bonge moja la ngoma ya dansi la kitambo sana lililosukwa mwaka 2002, (Kuna mzee wangu mmoja hivi alikuwa anasema kibao hiki kimefyatuliwa 2002) huku dhumuni kuu la utunzi huu likiwa ni maombolezo ya kweli ya kifo cha baba mzazi wa mwimbaji, Mzee Muumini Buguza, pamoja na kuweka fumbo la dharau dhidi ya tajiri wa bendi yake ya zamani ya Tamtam aliyemnyanyasa na kumkatalia msaada kipindi anauguza. Huu mchongo mzima uliosimamiwa na kiongozi mkuu Mwinjuma Muumini ("Kocha wa Dunia") kwenye sauti kuu na uongozi wa video, ulihusisha pia sauti za nyuma (back vocals) za marehemu Amina Ngaluma, safu ya wapiga magitaa mahiri kama Adolf Mbinga waliotandika solo na rhythm.,Bonge la Ngoma kwa Upande wangu,hii Ngoma siichokagi ki ukweli
2026-10-09 13:49:56
1
TJ 🍫😍 :
Tuekee mengi yamenikuta ya africa revolution🥺🥺
2026-10-08 06:58:26
2
hasani baruani :
bonge moja la ngoma ukichanganya na hisia za mwimbaji unapata radha