@goqinstitute: 🕋 SAFARI YA UMRAH 2026 NA UST: ARAFAT Safari ya kuelekea Nyumba Tukufu ya Allah imekaribia. Jiandae kwa Umrah yenye maarifa, maandalizi na ufuatiliaji mzuri kutoka mwanzo hadi mwisho. 📍 Makkah & Madinah 📅 December 2026 Gharama ya Umrah ni dola $2350 Inajumuisha ✅ Visa ya Umrah ✅ Tiketi ya ndege (kwenda & kurudi) ✅ Hotel Makkah na Madina ✅ Bima ya Afya ✅ Usafiri wa ndani ya makkah na madinah ✅ Ziara sehemu za kihistoria ✅ Ihram kwa wanaume na hijjab kwa wanawake ✅ Maji ya Zamzam lita 5 Tarehe kuondoka 24/12/2026 Kurudi 03/01/2027 Ili kujisajili kwa safari ya Umrah ya mwezi wa kumi na mbili, tunahitaji taarifa zifuatazo: 1. Jina kamili kama lilivyo kwenye passport 2. Picha/Copy ya passport (iwe na muda wa kutosha) 3. Picha ndogo ya passport size 4. Namba ya simu ya mawasiliano 5. Taarifa za ndugu wa karibu (namba ya dharura) CONTACT: +255 678021903 www.goqi.org #globalonlinequraninstitute #quran #fypシ