@p2classic: Game over #fyp #funnycomments #funnyvideos #😂😂😂 #creatorsearchinsights

MaxP™
MaxP™
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 08 October 2026 03:55:53 GMT
113479
6467
183
189

Music

Download

Comments

user574310025
danny :
alniulza et namba yang umetoa wap saiv ana mimba yangu na hua namuulza mimba yangu umetoa wap
2026-10-08 04:07:34
177
user1040265194338
jikso :
nime download Google
2026-10-08 15:10:08
0
baizo_de_faster
Baizo de faster :
lakini siinap0kea pesa??
2026-10-08 05:07:21
75
bobo.47.mella
bobo 47 mella :
wavoda wamenizawadia wameona Niko single MDA mrefu
2026-10-08 12:51:25
17
josh_lift7
𝖏̶𝖔̶𝖘̶𝖍̶_̶𝖑̶𝖎̶𝖋̶𝖙̶ 🦍 :
nime download playstore😂
2026-10-08 14:22:12
0
othan.dem4
Y011 :
Mimi nilikua wakala na ndo nlokusajili ila saivi kazi yangu ni kubeti
2026-10-08 16:03:09
5
omarially2350
omarially2350 :
muulize chart Gpt maana yeye kila mtu ni rafiki yake
2026-10-08 16:22:53
3
bellarock54
Bellarock :
Bachelor degree in Comment section 🤣🤣
2026-10-08 10:38:45
0
drdre.7777
Dr.Dre :
Legend🤣🤣🤣🤣
2026-10-08 06:15:01
0
user6747671240738
Abeid :
nililipa songesha wakanizawadia
2026-10-08 11:38:20
12
mr_lemabi0606
Mr Lemabi :
Umenipa wew mwenye ile siku baa ulikua umelewa🤣🤣🤣
2026-10-08 05:22:52
9
iam.godfreyndaile
G🤎 :
Mbona umeniuliza katika hali isiyo ya kawaida, kimsingi namba yako niliihitaji nikaitafuta na nimeipata. Lakini sikujua Kama Mimi kuwa na namba yako labda ni hatia?...Ila najua unaheshima yako samahani kwa kuwa na namba yako bila idhini yako kama hautajali basi naomba nikuombe tena!
2026-10-08 11:28:39
16
user2709856150124
jax'sdx :
Mie aliniuliza hivo nkamjibu mama ako aliniambia nimsaidie kubeba mzigo umemshindaa nkaubeba Kisha nkautua akanambiaa ahsantee mwanangu piaa Kuna mzigo kwangu upo ngoja nkupe number yakee uje unisaidiee kuubeba uutoe nyumbani ndoo akanipaa
2026-10-08 12:22:10
5
zetufilm
zetufilm :
nmeomba kwa IA
2026-10-08 13:22:10
5
olokai.tz
OLOKAI WORLDWIDE🎒 :
Wamenipa voda Kama zawadi
2026-10-08 09:00:48
6
efrahim.chisanza
Efra B-2 spirit bomber 🇺🇲 :
nimezawadiwa na tigo kama mteja wao wa mda mlefu
2026-10-08 04:46:21
9
user4730632469540
issjh-m2mba2halis :
nimeikuta kwenye gazeti la mwana sport
2026-10-08 08:12:48
7
fumbo.londe
Fumbo Londe :
haikua rahisi kuipata we save tu
2026-10-08 06:44:12
9
kudramkakoso
kudramkakoso :
kutoka namba yangu ume ipata wapi mpaka ingiza talatibu nayo ni mafanikio
2026-10-08 09:19:21
4
ommykhantz166
Omar mjatta⛎ :
me niliishiwa swaga nkajikuta namwambia nimeipata facebook
2026-10-08 12:38:28
2
user7951286108381
Hance popo :
Kwaiyo autak m niwe na namba Yako.
2026-10-08 09:18:09
2
marcenzieh._13
k@ Jigger :
Namba yako nmezawadiwa na airtel money 😅
2026-10-08 08:03:22
2
de.bright519
☠️💫De_Bright 🌄 :
nimeidownload
2026-10-08 05:50:58
5
frolianaudax116
General frolic :
usiku wa kuamkia leo nimeota napewa namba ya simu lakini hakuimalizia namba moja ya mwisho nikashutuka usingizini kwahyo mimi nilikuwa najaribu kubuni kukamilisha namba ya mwisho ndo maana unaona namba imekuwa ngeni kwako
2026-10-08 10:12:34
3
itsdapro_
dapro wa Momo ✌️ :
Hujui t how much 🤌🤌nime struggle kupata hii namba, ujue nime spend some money 💰 kw ajili ya namba ili nipate angalau upenyo wa kuongea na wwe mkali 😁😁
2026-10-08 09:02:44
0
To see more videos from user @p2classic, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About