Mimi nshafunga mkataba huyo mtoto tutakutan mbele kwa mbele anisamehe nampenda sana ila huyo mama ake hapana...
2026-10-08 20:44:17
3
Promecias :
safi sana mkuu big point
2026-10-08 08:35:43
7
Amos John Desse :
umeongea point san big up sana bro
2026-10-08 12:49:46
2
user6523706172532 :
daah kwel kabis
2026-10-08 11:50:22
5
king :
jamaa umeongea pointi sana
2026-10-08 13:59:53
3
ukhty aisha :
kaka kwanz sio kusaidiwa niwajib wak kumlea mtt
2026-10-08 12:25:11
0
"🦋Salma🦋 :
uwongo bwana
2026-10-08 14:12:02
2
bless 💞 :
usiseme tunatuma sema unatuma ?? tofautisha kauli2 na
2026-10-08 13:59:06
1
Juliana Manamba :
Asiiione ba flani nimetoka kuniita
2026-10-08 12:27:15
0
B@B @lly :
nikweli ila ww ukiona ivyo kwann usimchukue mtoto wako
2026-10-08 10:58:46
0
Above only 🌄🌄2026 :
mm wangu ni matusi to nimechoka
2026-10-08 09:00:26
2
munuo :
anaongea ukweli kabisa
2026-10-08 13:07:43
1
Abduly Said :
kwer Kaka
2026-10-08 08:03:30
1
Msukuma mwanza 83 :
kabisa yani kaka upo sahihi Mimi sasa hivi Kila wiki natumiwa laki Tano Kila wiki kwasababu kauli yangu ninayo tumia kwake inampo moyo hata kutuma pesa ya mtoto hivyo tuuu eshima tuuuu usimdhalau mwanaume yeyote jmn wanawake wezangu
2026-10-08 11:30:57
0
MR.VOLCANO HB :
mwanetu umesema ukwer asee👏🏼👏🏼🤛
2026-10-08 20:45:55
0
Fathan Kishky :
fact mkuu mitano tena,mke wangu popote ulipo hii clip inakuhusu moja kwa moja status