@amageneous: Muonjaji wa Taifa na Ghany Boutique chimbo la perfume Originally Magomeni Dar es salaam piga simu number 0767 888 600 Cc @ghanyboutique @samaki

Muonjajiwataifa
Muonjajiwataifa
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 08 October 2026 04:37:19 GMT
28135
1729
54
83

Music

Download

Comments

tumsime17
tumsime17 :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Mzee wa papaaa unapulizwaaaa[Tears of joy]
2026-10-08 07:38:33
9
user3118248534357
? :
Nahitaji but naogopa… are they original??eti jamani hela inauma
2026-10-08 12:31:32
0
bandit_tz
Bandit evara🤘🔵 :
Duka lako lipo wp kaka nilikwepe
2026-10-08 06:05:15
16
hon.gabrielmushi
HON. GABRIEL MUSHI :
😂😂😂😂😂 Hawa Majamaaa Wamekuja Kutupa Raha ,,, Unapulizwa Hapana 😂😂😂😂 Ninapuliziwa 😂😂😂😂
2026-10-08 08:26:54
16
nasebu1
nasebu1 :
1800000 me ile ya kwapa elf tano kinanishida daaah maisha haya jmn🥺🥺
2026-10-08 07:25:00
1
itsmebahesmy
Bahesmy :
Nauliza how tall is Muanjaji wa Taifa?[Innocent]. Mzee Wa papa amepotea
2026-10-08 07:02:37
0
thebosslady988
thebosslady988 :
Anaitwa nani na na anapatikana wapi
2026-10-08 05:14:37
2
sameyoutfit
sameyoutfit MTWARA :
Uje mtwara basi🥺
2026-10-08 11:10:53
0
mariemari2000
Marie m❤️🦋 :
Natamani 🥰🥰🥰
2026-10-08 04:58:14
0
from.miami6
From MIAMI :
naomba nmber ya dukan kk mm npo znz
2026-10-08 08:38:14
0
mtembezi_tnz
MTEMBEZI 🇹🇿✧˚₊‧ :
Oya nasoro perfume harufu naskia hadi huku asee kwenye simu🔥😅🙌🏾
2026-10-08 08:07:50
0
pensiana.kileo
Pensiana Kileo :
2026-10-08 09:10:59
0
omarykinawilo0
Mr transporter 🚚🚛🚐 :
kwaiyo umeamua uonje mpaka perfume
2026-10-08 08:42:45
0
_pyt.mina
Minah 🧸🤎 :
Unawashwaa unawashwaa 😂
2026-10-08 08:28:46
0
hamidy0071
Hamidy@ :
Inanukia hadi huku nilipo🤦🏽
2026-10-08 08:03:01
0
salmkhan08
salmkhan :
unapulizwa
2026-10-08 08:43:49
0
ranufeisal
MORAHASH :
yani naisikia mpaka hapa kwenye cm aisee hii kiboko 🤣
2026-10-08 09:49:03
0
thebosslady988
thebosslady988 :
Nulinunua 280000 jaman najisikia kulia😭😂😂😂😂😂uko wapi nambie n
2026-10-08 05:15:53
1
mroutfits
Mr Out fit Iringa🛍️🛍️💃 :
Hii combo ime kaa powa sana muonjaj na mzee wapapa 🤣
2026-10-08 07:24:57
0
ghislainkisughumogmail
KISUGHUMO GKK🦅 :
anapuliza sana . tusije tuka chukua alafu tupate imeisha
2026-10-08 06:54:06
0
aliyu23_
Aliyu23 :
hii kombo ya waonjaji uyendelee
2026-10-08 12:04:35
0
hammy70216
Ṣ̌HAMMY :
lakin nyie 😂😂😂 Et anampiliza nani 😁😁
2026-10-08 07:52:34
0
miggosingle2
miggo :
inatiamoyo
2026-10-08 07:22:34
0
6hamisy
💞 :
oyaaa apo mnazungumzia pafyum au ni cm mbona bei
2026-10-08 07:02:23
0
mamamahir525
mama omi :
Mzee wa papa anatia moyo 😃 nyie wawili mnatupa furaha sana Mungu azidi kuwapa afya njema na kuwabariki
2026-10-08 08:24:47
0
To see more videos from user @amageneous, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About