Bana, me nishai ingia kwa fence ya cactus 🌵 with tremendous speed, since breaks zilikua za mbali😅😅
2026-10-08 07:28:56
22
John Levis :
that's how my bro broke his arm..
2026-10-08 19:59:31
1
K-nitohz :
ati lazima uanguke mara tatu😂😂😂😂
2026-10-08 11:13:09
34
waves :
mimi ilinipark kwa fence[Laugh approved]
2026-10-08 13:51:42
0
Jahmrayy 🇰🇪😎 :
🤣🤣🤣 so me back then
2026-10-08 21:01:23
1
Barber 02🤑 :
Part A done till next time😂😂
2026-10-08 07:52:35
2
....... :
hii nayo boiz wamekapitia.......kuanguka ndo ilikuwa motivation😂
2026-10-08 11:02:37
7
🍁Khymani🍁 :
I learnt riding with this
2026-10-09 06:08:52
1
@Prince of music 258 :
Hii tulikua tunaendesha watatu😂
mmoja ana kalia kiti ana steer
mwingine ako chini ana paddle😂
na mwingine kiti ya nyuma wa kupiga brakes,kazi ni kuruka ashikilie bike tusianguke sisi wote😂💔
hii bike nayo hukua deadly,speed ni ya Ferrari⚡