@drstanley32: Hii Ni Njia Nyepesi ya Kusaidia Kushika Ujauzito. Unatafuta ujauzito lakini bado hujafanikiwa? Katika video hii, fahamu jambo muhimu linaloweza kukusaidia kuongeza nafasi ya kupata ujauzito kwa kufahamu vizuri mzunguko wako wa hedhi na siku zako za ovulation. #Ujauzito #KushikaUjauzito #AfyaYaUzazi #Ovulation #Fertility