sijui niseme nini ila nahitaj mtu wa kuongea nae, nahis nita heal kwenye hii situation 💔😭
2026-10-11 19:30:32
10
`꧁༺🌸 𝒎𝒊 𝒂𝒎𝒐𝒓🦋༻꧂` :
mpenz hasomeshwi😭😭
2026-10-08 08:14:14
21
LAST_BORN_backup_account🍁 :
✊🏿 you jamaa apewe mda aisee anakitu kikubwa sana.. kila nikimskiliza naondoka na kitu🤞🏿 na icho ndo kinamtofautisha yeye na wasimulizi wengine.. big up sana brother upo vizuri trust me
2026-10-08 06:23:37
44
🦋oddooo😘 :
me red flag Moja tu sicheki na yeyote nimemaliza
2026-10-08 13:47:28
21
Zeynab🧸❤️🩹 :
Hii story imenitoa Machozi this situation inaauma but kwangu Iko tofauti💔Uwiih nachopitia right now nakaa mpk nasema Mungu Mimi Nimekosea kikubwa kipi Tunacheka tuu lkn nyuma pazia KUNA KIZA🚮
2026-10-08 11:04:06
9
sherry jongo❤️🙏🇹🇿 :
jamni mwenzenu nimepata ajali ya moto chumba cha watoto kimeungua
2026-10-08 10:11:28
7
JLEE 🇹🇷🇹🇴🇹🇿 :
zije nyingi kaka tujipatie mema mengi🥺🥺🥺
2026-10-08 07:06:12
7
DA REY 💦 :
Nashkur mungu nimewah sana kujielewa
2026-10-09 12:05:38
14
Qwåvoo💎 :
Daah a day itafika atasema hamn wanawake sahihi 🥲 sometimes mihemko inatupelekesha sana 😪
2026-10-08 07:13:32
6
dago 10 :
hua napoteza mda mrefu san kusikiliza stor zak 💪💪💪 big broo 🫡🫡
2026-10-08 07:50:00
9
Happy 💕💕 :
Me nipo bize na usafi tu
2026-10-08 07:53:58
16
Hopply🔥🥰 :
Daaah munguuu akubarikiii kaka anguuuu nimejifunzaaa kity kwa kwer
2026-10-08 07:18:21
5
sreni.asht_ :
That hurts alot 💔😂🙌🏻🥹
2026-10-08 06:39:39
6
rousie🌹💟🥰 :
Nisaidieni kumuuliza mungu kwann napitia haya 😭😭😭😭
2026-10-10 19:52:28
5
@joji_661 :
nakubali sana
2026-10-10 14:44:12
2
👑 LAGOS_ICON ✨🩷 :
🥹Dah gat you brooo
2026-10-08 07:30:52
2
MAHEGE SON :
RESPECT BRO
2026-10-14 15:18:09
2
Twins Family :
nakubali kak 😭😭😭😭
2026-10-08 09:11:03
2
shark :
so painful 😭😭
2026-10-08 06:32:30
2
To see more videos from user @mwangomile_, please go to the Tikwm
homepage.