Mimi nawapenda wasukuma hata wao wananipenda na ardhi yao ilinikubari ikanipa mtoto wao nampenda vipi🫶🏿❤️wasukuma wakarimu wana upendo wa dhahabu mbarikiwe❤️🔥
2026-10-11 08:34:06
12
eunadu :
very nice, please make another one with English translation 🙏
2026-10-08 10:47:45
1
user8453772350558 :
Wasukum wa igunga tabora tujuwane jmn💪
2026-10-08 09:23:10
6
Bake with queenmaggie93 🎂 :
Wasukuma Bora tuinunue Tanzania 🇹🇿 nzima tuu
2026-10-10 10:48:49
5
Russia123💞💞💞 :
Asante kwa kutusaidia kutafsiri ambao tulikuwa hatuelewi hila bado tunapenda kuusikiliza huu wimbo
2026-10-28 11:16:46
1
Florah Jonanga :
Huu wimbo umefanya mii mkenya nimejua kisukuma within hours, na ninaumba kana kwamba mimi ni msukuma 🤣🤣
2026-10-08 18:26:06
2
venocyber :
hilo beat sasa 😎
2026-10-20 06:21:21
1
Anee🥰❤️😘 :
Afadhali 😁
2026-10-08 08:20:11
2
Rashid Maxinde :
bhashitakangwa means hatutishikagi na chochote
2026-10-08 16:21:36
2
G♥️♥️ :
tangu nianze kusikiliza nyimbo za kisukuma huu ndio wimbo pekee niliouelewa safi sana Zabron
2026-10-12 08:49:57
2
Ekay_events :
🥰🥰
2026-10-14 07:12:33
0
❤Dorooh🌸 :
huu wimbo napenda sana na hata siuelewi
2026-10-08 13:20:44
1
naomimasasi5 :
wasiokwamishwa
2026-10-20 14:12:21
0
Sayina Ndimila :
Translation ya AI hiyo jamani😂😂, Nsabi na
2026-10-28 02:36:14
0
Eva@ official petty 👌🥰🥰 :
hapa sasa namm naweza jilokodi nao mana nimeelewa nilikua naogopa kujilekodoli nao juu siuelewi nilijua nikwawasukuma tyu[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-27 11:54:48
0
Sayina Ndimila :
Translation ya AI hiyo jamani😂😂, Nsabi na kale maana yake ni tajiri siku zote hana vizuizi, siyo tajiri siku zote aaaaaa
2026-10-28 02:38:13
1
MISS E💞 :
😂😂😂😂boraa😁😁
2026-10-24 08:37:58
0
Frola George Mbatilo :
mu
2026-10-12 23:30:27
0
To see more videos from user @ritiaskayanda, please go to the Tikwm
homepage.