@matukio_duniani_kote: ANGALIZO USITUMIE SIM IKIWA CHAJI Taarifa zilizotufikia zinaeleza kuwa, mtu mmoja ambaye ni mkazi wa Tabora, amefariki dunia katika eneo la Dampo, Mwanza, akiwa katika eneo la biashara yake. Kwa mujibu wa taarifa za awali, tukio hilo limetokea majira ya saa 3 usiku. Inadaiwa kuwa marehemu alikuwa akiendelea na mazungumzo kwa kutumia simu muda mfupi kabla ya tukio hilo kutokea. Hata hivyo, chanzo rasmi cha kifo hicho bado hakijathibitishwa, hivyo taarifa zaidi zinasubiriwa kutoka kwa mamlaka husika. Tukio hilo limeacha hofu na maswali kwa watu waliokuwa katika eneo hilo, huku uchunguzi ukitarajiwa kubaini kilichosababisha kifo hicho. Tutaendelea kukufahamisha pindi taarifa rasmi zaidi zitakapopatikana. #tiktokkenya🇰🇪 #tiktoktanzania🇹🇿
Matukio duniani Kote
Region: TZ
Thursday 08 October 2026 06:40:58 GMT
Music
Download
Comments
Madam Minner Kizuri :
muda ukifika hata kijiko kikikupiga kichwani kwaheri,
KWAJINA LA YESU NAKATAA KIFO CHA MAPEMA
2026-10-08 13:50:21
436
Esperance Gilbart :
poleni
2026-10-19 16:03:09
0
Marry Pascal :
polen famliy
2026-10-19 18:38:41
0
Mungu ni kl kitu :
ndio tabia yangu
2026-10-08 10:46:28
18
julianajoel08 :
ni sim gani hio ili tusinunue .msinichambe Nina presha.
2026-10-08 12:34:21
42
Happy Kidoti :
kuna cha kujifunza kwetu ,
pumzika kwa amani
2026-10-08 13:05:49
47
EMiLY daughter 😍😍 :
ndo mm nipo sasa ivi cm ipo chaji
2026-10-08 12:29:40
22
Geelonely :
Em ngja nichomoe sm kwenye chaj kwanza ndo nisome comment
2026-10-08 15:45:37
16
Eufrana@definagirl :
daah nimeacha kabsa tokea Leo hio tabia ya kuongea sm ukiwa chaj
2026-10-08 08:38:39
8
Emmy henna :
Nakumbuka niliwah kua na kiswaswadu nilikiweka charge huku nikawa nachart lkn Mungu ameniepushia huo mtihan kumaliza kuchart tu nakiweka chini kikaripuka kimetawanyika chote had lain imeungua
2026-10-08 16:05:38
14
Bi mzuriii 🫂 ♉️ :
Nilivyo ichomoa chapu 🥹🙆🏻
2026-10-08 14:56:08
8
maritha 🥰🥰🥰🥰 :
poleni
2026-10-20 09:11:03
0
INTROVERT power :
kila nikiscrol msiba jamani kwa nini vijana mbona tunapukutika sana ipoje
2026-10-08 13:06:52
15
Nyamongo Da G collection :
Hoooo naacha kuanzia ss
2026-10-08 12:58:00
0
hamisaabdulhamid5 :
nabado nangaalia cm ikiwa chaji poleni
2026-10-08 13:04:40
0
momy Nasry 🥰🥰 :
hiyo tabia ya wadogo zangu kabisaa
2026-10-16 22:31:53
1
Hairat 1122 :
poleni sana 😭😭😭
2026-10-08 13:52:30
0
baby Cathy😘😘 :
duuh kumbe ni mbaya hii uwiiiiiiii sirud Tena
2026-10-08 12:50:27
0
Amady bakari :
duuh Kila mtu na sababu yake
2026-10-15 01:24:44
1
Ree💫🤍🌸 :
na ndo ilikua chaji nmeitoa fasta 😭
2026-10-12 10:33:06
2
faymaa❤❤ :
nilikuwa nimelala hapa cm IPO kwa chaji huku naperuz ila baada ya kuona hii vdio nimeichomoa chaji na kuitupa mbali nimezima na switch 😩😩
2026-10-08 20:24:31
3
KEAUDTHEUR🇧🇶🇫🇮❤️ :
duuh nimetoka kwenye charge kama kipanga🏃♂️😬🥲
2026-10-08 13:14:39
4
Therealbethy🥰💕😉 :
duh ndo mm nimeweka sim charge uku headphone zipo masikioni🥺🥺
2026-10-08 11:15:20
2
Halima wa Sona💞💞 :
Jamn kama Samsung jamn ogop Kuna siku nilipigwa short ya sikio ad mkojo wa gafla naogop ad leo😭😭😭
2026-10-08 15:55:12
1
asma maulid :
poln San, Mwenyez MUNGU Amlaze Mahala Pema Pepon🤲
2026-10-08 12:35:13
2
To see more videos from user @matukio_duniani_kote, please go to the Tikwm
homepage.