@veriafya: Wazee wengi hushindwa kutembea si kwasababu ya Umri, bali ni kwakuwa Misuli yao huwa haina nguvu Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani kanda ya Afrika, Prof. Mohamed Janabi anasisitiza vijana kufanya Mazoezi ili yawasaidie baadae Uzeeni, ili wawezw kustahimili kutembea bila vikwazo Video: Dua TV Tanzania