@millardayo_: ✍🏾@ericshigongo

millardayo
millardayo
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 08 October 2026 07:09:19 GMT
68447
2624
94
76

Music

Download

Comments

essie.2412
Esteriah❤️‍🔥♥️🌸🖇 :
am tireed🥹 but am leaving give me two days😌😌
2026-10-08 15:00:32
0
fadhilcd11
fadhil@ :
leaving is the best broo
2026-10-08 08:11:39
1
prosper.mercy16
Mercy❤️ :
Really bro😭😭
2026-10-08 13:58:10
0
user5497901782581
kw4m3 :
nachoka mm milard
2026-10-08 12:09:14
0
raqum22
Raqum :
kubaki kuna sababu inayosababisha kubaki , kuondoka unaondokaje😭😭kuanza upyaaa hiii inawezekana 100% ilaaa maisha haya yote utachagua kusimama na mungu tu mana yeye ndo ata kutetea sijui niandike nini wallah ila mbaya sana
2026-10-08 08:08:46
28
enzzor1
enzzor1 :
ukiona upo kati ya kubaki na kuondoka Ondoka
2026-10-08 10:42:23
11
innocent42399
💦INNOCENT 🤝 :
speach fact
2026-10-08 07:18:13
0
pita.kaparu
mwendwa mutyanyili :
heri kuanza upya
2026-10-08 17:44:29
1
judith.thomas5
JUDITH✨ :
Kubali kuanza upyaaa, kuendelea kubaki kunazidi kukupa maumivu 🥹
2026-10-08 11:40:10
3
dntripple.f
Ney :
nimeanza upya lkn sio mchezo
2026-10-08 14:50:40
3
user23321935536358
peter :
maamuzi ya kubaki yana maumivu yasiyo na mwisho ila ya kuanza upya yana mwisho
2026-10-08 12:58:01
4
tenywa136
joy :
kabla sijaondoka nlikuwa nasema watu watanionaje ila toka nimetoka nimegundua hakuna anayenifatilia wala kuniona🤣🤣🤣
2026-10-08 16:24:26
2
pipi_candy
Pipicandy❤️🌸🎤 :
Jmn aje mtu tuanze upya pamoja 😭
2026-10-08 09:24:32
1
madamsuzie7
MadamSuzie :
nimechoka😔
2026-10-08 07:18:59
3
jackline.mlawa
Jackline Mlawa :
omba mungu usikutane kati ya kubaki au kiondoka🙏
2026-10-08 07:50:16
7
pr.jy72
💎LÃMÃR💎 :
MAFANIKIO NI HALI NA MAENDELEO NI VITU
2026-10-08 07:12:34
4
maryamnkala
maryamnkala :
bora kuondoka ili nikanze upya
2026-10-08 12:07:04
2
angelbeaut10
Pretty Angel🕊️🌸🦋🌺 :
Aiseee Mungu anisaidie 🙌
2026-10-08 14:43:43
2
moureen.sanga
Moureen❤️🫶💕 :
kuanza upya kwenye maisha pia inasaidia maana uwezi kukumbatia kitu kinacho kuumiza bora kuondoka na kukubali na kuanza upya 😔
2026-10-08 07:19:32
4
user8551510439528
Hadahayo :
binafisi nachoka niko kwenye hali hii.
2026-10-08 09:00:09
1
pa333k0
Pa333k :
Mi bado natafuta taget ya kuondokea ikitiki2 mi ni humu🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
2026-10-08 10:40:03
1
ommymjedah
Ommy Mjedah :
niliwai kuanza upya kabisa kwenye maisha Yan huo mzozo usikie Kwa mwenzako aisee ni shidaa kubwa sana ni maumivu sana
2026-10-08 10:44:29
1
alexandermathias185
Son :
serious bro apa nilipo ndo nachowaza hadi sasa sijapata majibu kipi ni sahihi
2026-10-08 08:38:37
1
rebeccelunguli
Ms_Rebecca :
Omba tuu hiyo hali isikukute 😔
2026-10-08 07:32:45
1
zaza.hmohamedy.al
Zaza.H-Mohamedy Ally :
true
2026-10-08 15:50:07
0
To see more videos from user @millardayo_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About