@fariji.edson: #Rev.Moses Magembe.

Fariji Edson
Fariji Edson
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 08 October 2026 07:24:04 GMT
48238
1729
112
163

Music

Download

Comments

mogmbezi
MAN OF GOD MBEZI :
kitu ambacho ni kibiblia kabisa ni kutoa maali,au kupata ruhusu ya wazazi kuishi na binti yao basi!!!haya mengine hata MUNGU hakutuagiza hayo
2026-10-08 13:21:48
39
tajiriwachunya
💥TAJIRI WA CHUNYA💰💸🇹🇿🇹🇿 :
Baba sisi ambao hatujufunga ndoa lkn tulichukuwan tu ili tufunguliw tufanyaje
2026-10-08 08:23:36
1
jj.twins4
JJ twin's :
Mchungaji si kila kinachofanyika kanisani ni Ki biblia. HATA MACHANGISHO YA PASTORS DAY SI KIBIBLIA
2026-10-08 10:12:58
10
jeremytimothy19
Jeremy Timothy :
We umeandikwa wapi uwe mchungaji?
2026-10-08 13:33:57
2
efraimmuzi
Efraim Muzi :
sasa walio ishi unyumba kabla ya kufunga ndoa na wana watoto na familia na wanaamua kumfuasi Mungu unaanisha hawana room ya kuokoka. je wakitaka kuoka Mungu atawakataaaaa?????
2026-10-08 15:32:10
1
user4711832504501
Allan lyombile :
Haya basi na kufunga ndoa imeandikwa wapi?
2026-10-08 14:13:30
0
rahel.sasi
Rahel Sasi :
Je kama mtu ameolewa wakati Hajaokoa na mpagani akaokoka harusiwi kubariki ndoa
2026-10-09 15:27:40
0
online__tz
Online :
biblia inaongelea mahari tu na ruhusa ya wazazi. hayo mengine ni maamuzi ya mwanadamu
2026-10-09 17:01:04
2
mixedbysakon_vibetone
mixedbysakon_vibetone :
Shida Wazee hawataki kustaafu 😂😂😂
2026-10-11 03:50:12
0
milickmabango
Mabango yote :
Hata kwenye biblia hakuna ndoa iloyofungwa
2026-10-09 13:59:00
1
adventina.clonery
adventina clonery :
mtumishi wa Mungu tunaomba utuelekeze tuelewe nini maana ya kufunga ndoa
2026-10-09 10:12:03
0
musakelela
musakelela :
biblia sehem ipi kuna kufunga ndoa??😂😂
2026-10-10 11:50:38
1
ephraimrobert458
Robertinho :
kwani biblia ni syllabus.... we vp
2026-10-10 17:50:22
1
devidiisikaveta
Devidi Isikaveta :
hata kufunga ndoa kibblia haijaandikwa
2026-10-09 11:20:29
1
edr95760
EDR :
Sasa ukweli ni kwamba wazazi wa pande mbili wakisharidhia na mahari ikatoka tayari ndoa imekamilika hapo..haya mambo ya kwenda kanisani yalikuja karibuni hapa baada ya dini kuja..haimaanishi kwamba kabla ya ujio wa hizi dini ndoa hazikwepo, pia haimaanishi hizi dini zikiondoka kama zilivyokuja watu hawataoana..haya mambo ya kwrnda kanisani, kuvalishana pete, kuvaa gauni jeupe na suti yote tumeiga tamaduni za walioleta dini wakati sisi tayari tamaduni zetu tunazo.
2026-10-08 19:59:43
3
godiscontrol3
zasisangi :
kwenye Bible kuna kifungu kinacho sema kufunga ndoa
2026-10-08 13:31:27
2
user63952875171801
my name :
mtatuchanganya mpaka tuchanganyikiwe🤣🤣🤣au mmekua wengi,,, kwanini msiwe na neno Moja linaloeleweka,muache kutuchanganya bwana
2026-10-10 04:28:26
0
valentine_8979
Its vee :
mnaosalia kwa huyu kazi ipo
2026-10-08 17:10:12
0
lilys.427
Lily's 💎💎 :
tumefikiwa
2026-10-08 12:35:57
1
rahimabaskiobya
Eng_Kiobya :
Kibliblia ndoa ni makubaliano ya watu wawili
2026-10-08 19:33:18
1
venvancy
ven :
ndoa imeandikwa wapi kwenda bibliw?
2026-10-10 12:25:40
1
wox251
wox :
uyu mzee ni genius kinoma
2026-10-09 18:02:43
1
timj2026
Justus N. Timothy :
Ndugu uliyerusha hii clip, tuambie Mtumishi huyu alihitimishaje kwa maana ya "way forward" kuhusu wanandoa ambao hawakufunga ndoa rasmi na hatima ya Watoto wao hata baada ya wazazi kutubu na kitakasa Ndoa yao!
2026-10-08 10:29:13
0
emmanuelmatan22
Official_Immanuel :
kwanza kwenye biblia hakuna sehemu inayosema mfunge ndoa, kibiblia ni toa mahali kwa maelewano ya wazazi baada ya hapo wazazi watamruhusu mtoto wao ande kwa mmewe tayali ni ndoa
2026-10-08 15:21:27
1
user1887297155132
Devotha :
Asnte kwa ufafanuzi baba Bora haijulikan 🤣🤣 😅
2026-10-10 08:47:51
1
To see more videos from user @fariji.edson, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About