yan at least Mungu angekuwa anatuonesha kila mtu na mtu wake sahih 😔, mwanaume na mwanamke wake wa maisha na mwanamke na mwanaume wake wa maisha ili kutuhepushia kuumizwa na kuumiza watoto wa watu 💔🥺
2026-10-08 13:46:58
13
Maestro Mido :
yaani kwangu mimi ilo song tuu daahh😓🥺
2026-10-08 19:25:20
2
Martha😘 :
mm nilishaacha Vyote nipo nasska pesa😅
2026-10-08 18:17:44
6
Shishi :
jamn kote kugumuuu🙌😁🥺
2026-10-08 17:08:06
3
Mood off💔 :
that is life
2026-10-08 15:24:29
2
Asbrn AS :
maana yake tunao wapenda hawatupendi wanau tupenda hatuwapendi
2026-10-08 19:44:44
2
Emmy🏵️😻 :
dah😭
2026-10-08 11:36:07
2
Nasibu Ajud :
Saohill iringa tanzania
2026-10-08 16:04:02
2
Jonas Tz🇹🇿 :
hakuna kupoa kama lisuutuu🔥🔥
2026-10-08 18:54:01
3
Barakah 😜🤑😅 :
Njombe 1 iooooo ✌🏻✌🏻🙌
2026-10-08 17:17:14
2
internet money 💰 :
huku nje ni kubayaa
2026-10-08 23:23:40
3
kulwa :
kwr kbs
2026-10-08 14:24:55
2
Elly Moshi895 :
njia kuu ni moja tu nyingine ni paking tutajifunza vingi sana why vikawekwa vibao vya sped 30 na vingine 50 na pengine 50 imekatwa aneelewa na akawe na mda wa kutafakari yupo kwenye alama gani kati ya hizo tatu
tukutane kilimanjaro marangu disemba tunywe bia na mbege na nyama nyingi tutapata akili na kujua akili tuliyibaki nayo ni kutafuta pesa tu
2026-10-08 19:12:09
2
~Mgina Jr ... 😅 :
Saohil hiyo.
2026-10-08 16:36:34
2
dogo mwamposa :
kama me future wife Angu sijui ata yupo wapi jaman🙄
2026-10-08 19:34:48
1
teeve@hyper :
uko sahihi
2026-10-08 19:07:28
1
Khamisi :
daaah unapopenda hupendwa usipo penda unapendwa maisha bn bact
2026-10-08 18:33:32
2
VENA CAVA :
nimeielewa hy
2026-10-08 19:20:54
1
Angel MOses :
ndo maisha yetu ya kila siku🤣
2026-10-08 13:50:59
3
To see more videos from user @robertcharlz, please go to the Tikwm
homepage.