tusio elewa kinacho endelea ap tujuane nime ishia kusoma commenti tu 🥺
2026-10-08 08:55:45
457
HeyRinah🍑🌷🌸 :
huyo mwenye para ni nani😳
2026-10-08 09:32:37
85
Mamu ❤️ :
Naskia Azm wamemkataa Abdully 🥺
2026-10-08 08:14:18
450
Linah_eddie🦋🧚♂️ :
Wenye kingamuzi cha startime tujuane😂
2026-10-08 11:53:59
18
pablogas98 :
Kwan Abduly analia nin sasa
2026-10-08 09:44:26
5
lilian jobu :
jaman tuwe makin Sana na vitu kama hivi , unaweza ukajikuta unaingia kwenye matatizo bila kutegemea na hii ndo shida ya sisi watanzania na inatuponza sana unakuta mtu yupo serious kabisa anasoma comment yangu badala aandike ya kwake.🥲
2026-10-08 11:20:16
29
nyamandemanyama8 :
kisamvu analia nn? asee nilindiwe mtoto wangu mm jamn
2026-10-08 08:01:11
67
Grace Paul :
itakua kweli azam wamekaata kazi zake,,nasisi nikazi moja tu kuamia star times maana tunalipia elf28 zabure tu nawengine tulinunua azam sababu ya kombolela
2026-10-08 08:22:51
290
rosekidot♒️♒️♒️ :
sema akuna mtu anaetengeneza kazi kali kama uyu kaka sijaonaaaaa yani zaidi yake na jb baaas🫡🫡🫡
2026-10-08 08:22:44
98
🅱🅻🅾🅲🅺 72🇧🇷 :
:tanzania ndo nchi peke unaweza ukaandika vocodam na watu wakasoma vodacom
2026-10-08 11:49:35
8
@fatuma.mohamed80 :
inauma jaman uskie kwa mtu t jaman yashatukuta hayayo[Crying][Crying][Crying]
2026-10-08 11:23:28
0
@sabrinaclavery988 :
Yani hizi tamthilia za Azam sasa Yani 🥺 basi tu kama hiyo jakamoyo Mimi naita jamkaya 😂😂😂 sielew
2026-10-08 11:00:19
5
icon :
ambassador wa halotel
2026-10-08 12:30:52
0
LAST BORN 2 :
tuliokuja kusoma comment ili tuelewe lakini wapi 🤣😂🤣
2026-10-08 10:06:14
15
Dr,hope :
Kwan analia nn ,,what xourcee
2026-10-08 11:22:49
0
zuu_collections :
Kila binadam ana tenda makosa jmn ila Azam hapan kwa kwel mtafukuza watej tutahamia startimes wallah
2026-10-08 12:15:59
6
lizzy brown :
mimi niliwaambia hawa wana usiano wa mojsdvkurndkdkdmdmd fsjdtdndkzmsndcsmsisndt immjgsdjnsnsgsudndksksjsbsnshdnensn zgzfsjdkdndjxgshsjsiudnejdydjdneu
2026-10-08 12:23:53
0
liwizo :
abdul anamachoz jmn
2026-10-08 08:23:46
0
Tiffah💞❤️ :
Bora angekuja DStv lakini huko hamna wateja
2026-10-08 08:58:13
67
🦋 :
Abdul unatabia mbayaa kwann usiiletee hi movie azam
2026-10-08 08:11:05
85
Mariam Ismail :
Sijui nina nini, ila nikimuona mtu analia, hata kama sijui sababu ya kulia kwake, na mimi machozi hunilenga. 🥺💔 Labda ni kwa sababu moyo wangu hauwezi kuvumilia kumuona mwingine akiumia
2026-10-08 10:36:58
15
Lizzy Heroine :
Wale ambao tulitelekeza startimes na sasa tunataka kulipia helow👋👋👋
2026-10-08 11:48:44
6
mariam :
kwani abdury ndo nani msinichambe lakini
2026-10-08 09:18:55
22
🦋 baby swahy🦋 :
ila uyu wanyuma si shida au sioni
2026-10-08 09:43:50
21
rody marley :
inaonekana azam tv walimkataa ndomn kapeleka star times
2026-10-08 10:05:55
10
To see more videos from user @fraverofficial, please go to the Tikwm
homepage.