@sasibuying_area: UNALIPIA iCloud+? BASI HII HABARI NI YAKO! Apple imeleta habari nzuri kwa watumiaji wa iPhone Tanzania! Sasa ukiwa unalipia iCloud+, unaweza kufurahia Apple TV na Apple Arcade bila kulipia subscription nyingine. Yaani unapata nafasi ya kuhifadhi picha na video zako, huku ukifurahia filamu, series na michezo ya Apple. Je, ulikuwa unajua kuhusu hii ofa mpya ya Apple? #AppleTanzania #iCloudPlus #AppleTV #AppleArcade #iPhoneTanzania