@mo_salaah_planner: Chochote cha kulazimishwa kama upendo, heshima, urafiki, utii na n.k huwaga hakidumu yaani kitakua cha muda mfupi t na kuishaa kikubwaa ni... Kupambania malengo na ndoto zako kwani ndio kitu pekee ambacho hakitokusaliti hata Siku moja kwani hakikaa... Kilichopangwa na mungu kiwe upande wako kitakuwa na yule au kile kinachokuja kwako bila kulazimisha ndio chenyee kudumuu💯 by @mosalaahplanner jifunze|Panga|Kua #creatorsearchinsights #islamic_video #foryoupage #trendingvideo #viralvideostiktok