@ruwamedia01: TAZ GENIUS ANAWEKA REHANI NYUMBA YAKE ANADAI DIAMOND HAWEZI VAA SAA YA BILIONI KWA SASA #fyppppppppppppppppppppppp #fypシ゚viral #diamondplatnumz #creatorsearchinsights #ruwamedia

RUWA MEDIA
RUWA MEDIA
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 08 October 2026 08:35:11 GMT
265992
11214
286
148

Music

Download

Comments

user75012154
Mr fact 255 :
lakini billion ni dollar laki 380 tu
2026-10-08 18:08:54
9
mamakelai
husna mkama :
hivi mbona Kila anachofanya diamond kwenu ni ovyo aliwakoseaga nn
2026-10-08 12:53:49
21
user3670062786184
J.Tale :
umeongea ki2 fact kk
2026-11-15 18:05:43
3
coby.bin.khatibu
Coby Bin Khatibu :
kwa saa ya bilion duh hata mm nakataa😂😂
2026-10-08 11:17:04
88
masso.th3gret
masso Th3gre@t :
kwani media gan huwa inamuhoj uyu jamaa????
2026-10-08 17:59:58
32
shydee_1
SHYDEE :
ipo wap nyumba yako
2026-10-08 12:49:33
10
kelly_kelly102
kelly_kelly102 :
kumiliki bilion saa ashindwi coz ana U.S.D MILLION 26
2026-10-08 10:51:02
12
shaabanherman
shaaban :
Umesema kwel mkuu, maan angekua na uwezo wa kknunu saa ya B1, asinge ganda na magari ya 2019
2026-10-08 14:34:05
12
palukuanselme
Paluku Anselme :
fally ipupa anayo haitumii tena imepita nawakati😃😃😃😃😃😄😃😃
2026-10-08 17:32:12
5
userwazirjonh
waziri john :
tuko pamoja kaka
2026-10-08 11:18:44
23
user3815169139849
Baba Rayyan :
kaka pamoja sana
2026-10-08 11:37:07
6
zahran_abdul_samad8582
Z'A'S :
Mbn hatuja wahi muona kwenye list ya Jacob
2026-10-08 16:31:07
5
endricksambone
Endrick 🇲🇿 :
bora umesema wew.😂
2026-10-08 14:41:19
6
o6489605jt5
AI scavetor :
kumbe diamond kipindi anaimba " acha nikae kimy " alionaga mbali eh😳😳
2026-10-08 13:07:46
5
jackitonrwiza
JR ton :
umeongeza ukweli kaka
2026-10-08 13:39:18
3
manga9243
manga :
Kwani nani huyu
2026-10-08 22:04:24
4
ahmed.salim473
Ahmed salim hijab💕 :
tanzania hakuna mtu anaweza kununua saa ya B, yan b kwa saa tu apana
2026-10-09 20:32:21
3
nyotta5
TEMBO PHONE :
kweli kaka
2026-10-08 13:36:42
4
shakira.a..banobi
Shakira A. Banobi :
Kweli kabsaaa kaka huo ndo ukweli fact point
2026-10-08 11:44:21
3
noreenphat
reen 06 :
una nyumba??
2026-10-08 13:54:57
2
jkaz558
jkaz :
nikweli aise
2026-10-08 13:49:35
4
mamyalia1
🌹mamy🌹❤️ :
watu wanachezea pesa kwa vitu vitakavyobak hapa aise😂😂😂😂😂
2026-10-09 05:41:13
1
user94849303969698
Faris fasy :
ligi hiyo diamond hana..sasa sijui itakuwaje
2026-10-08 13:11:12
2
user18538573800
christian :
acheni wivu khaaa
2026-10-08 15:16:27
3
To see more videos from user @ruwamedia01, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About