hilo jambo lilishatolewa taarifa mapema sana!kama muandishi sijui kwa nini hukuhoji wakati taarifa hiyo inatoka
2026-10-08 13:20:00
2
OMBENI SAMWELI :
yaan huyu jamaaa timu ya nyumban hipi huo ni uwanja wa taifa waje wacheze siku ya mech tuuuu safi sanaa
2026-10-08 13:06:18
1
user7612057691396 :
lakini hii yote Sisi Simba ukubwa wetu ukowapi tujenge uwanja wetu tuachane nahaya maccm yatatudsa sana maelekezo tayari
2026-10-08 12:26:42
0
mikidadiofwe :
yaani najitahid nisipende ligi ya bongo bado sijaweza ila nakaribia kuweza najua sipunguzi kitu Wala sizidishi kitu kutwa visaa soka letu ivi ulaya haya hatisikii
2026-10-08 11:51:49
0
Edu68255 :
Hakuna mgogoro wowote, Unajisahaulisha tu Simba walishahamia Meja Isamuyo huko ndio wanafanya mazoezi.
2026-10-08 18:58:07
0
Son of God :
tff wanaharibu sana mpira wetu inaonekana hawafati kanuni ila wanafanya kazi kwa maelekezo
2026-10-08 17:28:00
0
Gwapalwela :
Bodi ya Ligi na serikali wanatafuta kila njia kuiharibia Simba! Ukweli ndiyo huo. Hivi kweli timu za mikoano hazifanyi mazoezi kwenye viwanja vyao? Aibuuuuu!
2026-10-08 13:07:42
0
mk14 kode star :
hiyo yote kuihalibia simba
2026-10-08 11:23:32
0
Mwinuka Albert :
Usiishangae TFF vishangae vilabu vinamiaka more than 50 hawana viwanja
2026-10-08 10:44:51
1
tin :
tff walisema vilabu vitafute viwanja vya mechi na vya mazoezi ndio maana tumefikia huku
2026-10-08 11:41:54
0
Joseph MilanZi :
Urozi
2026-10-08 11:25:13
0
its ferion :
wakukurupuka kwenye 1 na 2
2026-10-08 11:28:07
0
mufti :
[Innocent][Innocent][Innocent]
2026-10-08 13:13:39
0
To see more videos from user @cooliesportsbackup, please go to the Tikwm
homepage.