Kaka ee, kinacho niumiza mimi mpk mafuta walitutilia wakati wa kampeni 😢😢 na walijua fika kama hatuna leseni wala hatujapasisha honda, ila any way Mungu yupo🙏🙏🙏🙏🙏
2026-10-08 09:58:06
9
Dude khamisi Dude :
Subirini mpaka kipindi cha kampeni huenda mambo ya kageuka
2026-10-08 11:53:39
3
mbape7 :
kila kazi inavigezo na masharti tii sheria bila shuruti ,
2026-10-08 11:14:49
1
mdosi :
faza eeee itabid tukaibe jap umo mawasiliano🤣
2026-10-08 10:42:07
4
LUCA Mundhir..🗨 :
Tukutane ikulu saiv kishaiva😅
2026-10-08 10:33:43
4
Muhammad ndumba :
hio ndio ccm kila mmoja ltamfikia kwa wakati weke naimaini ipo siku tutakua letu moja
wanataka watu wawe wizi na wakabaji mana ukorumande hamna watu siku hizi
2026-10-08 11:45:02
2
sikandaryakoub :
vijana wengi hawapasishi honda kwa sababu unahangaishwa kwenye kupasisha kwa hiyo ndio maana wanakwepa hilo
2026-10-08 12:10:53
1
abdikocha10 :
kukaba mitaani baba nd lililo bakiy
2026-10-08 19:53:59
0
Bocco Haram 2020 :
uwakika dbloo
2026-10-08 19:50:33
0
21__Babylone :
master inabidi tuibe tukafungwe
2026-10-08 23:01:13
0
✨️ H ✨️ Designer ✨️ :
Mim honda yangu imepasi, leseni ninayo, nimevaa helment kisa ina morror 1 tu ya kulia imekmatwa imeekwa ndan naambiwa faini 45,000 ivi ni kweli? Daah
2026-10-08 20:23:01
0
12345 :
madhara ya kutosoma dini yetu
2026-10-09 12:02:47
0
Omar Faki Pofu :
tufate wanacho utaj tupasishe vyombo tubae element tuone nin kitafata tusiukumu tukiwa atuja timia kukaba so suluh ata tunapo pasisha pesa zinatuendelezea maendeleo ikiwemo Barbara na mashule kwa kufikiria mbele tutaelewa
2026-10-08 20:11:01
0
Benteke abra :
wanavotaka tukae maskani tuibe
2026-10-09 08:10:55
0
To see more videos from user @diblomaster1, please go to the Tikwm
homepage.