@chipupute8: 🍖🔥 BIRIYANI YA NG’OMBE 💯BEEF BIRIYANI 📌 Wakazi wa mwanza agiza Biriyani mapemaaaa @asmasdelights 🔥 viungo @SimiFlavourTz coffe scrub @naswiat_brembo_og 🧺 Ingredients 🥩 Nyama ya ng’ombe — Beef: 1 kg 🍅 Nyanya 🥕 Karoti 🫑 Hoho 🥛 Mtindi 🌿 Biriyani masala 🌿 Green curry paste 🧂 Chumvi 🥚 Mayai ya kuchemsha 🧅 Vitunguu — Onions: ½ kg 🥔 Viazi vya kukaanga 🍋 Ndimu 🌿 Giligilani Fresh #BiriyaniYaNgombe #Biriyani #chipupute #TanzaniaFood #SwahiliFood
Chipupute8
Region: TZ
Thursday 08 October 2026 09:23:03 GMT
Music
Download
Comments
Brayon :
eti usitufanyie fujo ya viungo yaaani ww😂😂😂😂😂
2026-10-08 09:40:48
8
Mwanaisha Mashauri :
mi cjui kupika biriani naomba nielekeze
2026-10-09 10:39:33
0
L³³👑#🇹🇿 🇨🇳 :
Chipu kama situmii maziwa nafaa kuweka nini jaman nataka nipike Leo Ila maziwa me situmii
2026-10-08 12:03:15
6
Hadija Ramadhan :
Maziwa ni lazima? Namanisha haiwezekan kupika bila kuweka maziwa yaaina yoyoye ile ata yoghurt?
2026-10-09 12:12:45
3
Nahia Suleiman :
my fovurite chef🥰🥰
2026-10-08 09:59:21
1
Jessie :
Leo ndo nimeona biriani sio ngumu kupika sjawahi kuelewa ila nitajaribu🥰🥰🥰
2026-10-08 17:58:44
1
Babyrifayah🦋💞 :
Sambaro ya embe.. SUUUUU🤣
2026-10-08 11:05:25
2
g🌹 :
mm Hilo jiko nimelielewa jmn , napat wap😂
2026-10-09 18:49:51
1
💤oe :
Naomba😁🫴🏻
2026-10-08 10:05:17
2
Nurat💕 :
Suuu
2026-10-08 11:11:11
1
SimiFlavourTz :
Chipupute umeongea lugha gani hapo?😂
2026-10-08 10:06:15
1
Zabibu Thadeo :
sambaro ya embe pleese
2026-10-08 15:32:39
1
salamwaweza :
mm hapa kwenye wali wa bilian bado sijaerewq
2026-10-08 10:10:27
1
brywave_🧸 :
jinsi ya kupika birian
2026-10-08 13:48:11
3
stunning 🤍🦋 :
somo lirudiwe mkuu
2026-10-08 09:59:00
1
✨️Lay Boone :
mm umeni acha
2026-10-19 18:44:50
3
saumumunisi0 :
yaani chipupute ntakuomba unipe muda wa kujifunza mbali na vile unavyooneshaga hapo. unapika balaa❤️❤️
2026-10-08 17:25:40
1
Babyrifayah🦋💞 :
Biryan sio chakula cha waarabu🤣🤣
2026-10-08 11:03:13
2
Tauhida msingwa :
first
2026-10-08 09:28:30
1
zuu henna design :
spices nahitaji
2026-10-19 17:51:18
1
Nitha🌟⚡ :
chipupute njoo arusha pika tule bas
2026-10-08 11:27:46
2
Hadija shebani :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣wameskiaa
2026-10-08 12:09:32
1
Happyness :
2026-10-08 22:02:51
1
user6590188869393 :
duu ambura ya embe tupikie
2026-10-08 09:28:45
1
baddie 🌹🌹🌹 :
jamani hivi unaweza pika kwa mchele wa mbeya maana me basmati sishibi😁😁😁
2026-10-08 15:46:57
3
To see more videos from user @chipupute8, please go to the Tikwm
homepage.