@amrisaly: Hapa tunashare jinsi tunavyo-view market, tunachotazama, na namna tunavyopanga ku-manage different market conditions, Kwa new traders, this is one of the best moments to get real experience ya ku-deal na technical analysis kwenye mazingira halisi, kusikia mitazamo tofauti, ku-challenge your own analysis na kuelewa kwa nini trader anaweza kuona kitu tofauti na mwingine, Experience ya aina hii ni kwa ajili ya kukujenga ndani ya muda mfupi zaidi kuliko kujifunza theory pekee, professional trading is not just about knowing what to look at, it’s about learning how to think, analyse and manage the market.
Amrisaly
Region: TZ
Thursday 08 October 2026 10:07:01 GMT
Music
Download
Comments
neema_014 :
together we can
2026-10-08 14:31:18
0
Usher :
Still manifesting to be in IFX🥰
2026-10-08 15:02:10
0
phone hubs :
Kuna day nitafika hizo level
2026-10-08 10:44:37
0
Ernest Johanes :
wanaopoteza mda ndo hawa
2026-10-08 12:00:23
1
GODFREY :
Ayooo nimaigizooo mbonaa siriasiii kamaa isidingooo 😎😎😎
2026-10-08 13:13:34
0
official uprocaming programer :
😳😳😳
2026-10-08 13:09:35
0
To see more videos from user @amrisaly, please go to the Tikwm
homepage.