@sportstip24: Mkataba wa Messi wa kwanza ulikuwa kwenye tishu, ulivunja sheria nying za Barca, hana deni🇦🇷🔥 Stori za viwanjani na mikataba ya kihistoria ya magwiji hazina mbadala kwenye soka letu la kijiweni! Wewe una mtazamo gani kuhusu mkataba huu wa kwanza wa kibabe wa Messi ndani ya Barcelona? Dondosha maoni yako hapa chini! 👇 📱 MBONA MOBILE ACCESSORIES: 🔥 Pata vifaa bora vya simu, LCD na huduma za ufundi kutoka kwa wataalam. Tembelea ukurasa wao sasa 👉 @mbona_mobile.tools.and.lcd 📱 Fuatilia habari zaidi hapa: Instagram: @sportstip24_ na @bettingbrain24 Tovuti Rasmi: sportstip24.com #MirajiMaramoja #Sportstip24 #BettingBrain24 #LionelMessi #Barcelona #SokaLaDunia #Kijiweni

sportstip24
sportstip24
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 08 October 2026 10:20:12 GMT
123032
9521
106
111

Music

Download

Comments

md937216
md :
dah usimkatie mtu tamaa
2026-10-08 11:42:18
60
kinubieric
Eric :
Messi kasain barca akiwa na miaka 13
2026-10-08 12:00:18
21
shaban.steven
Shabby :
Mjomba ake Messi[Tears of joy]
2026-10-08 11:38:17
13
user6174902935186
abduli miko :
goat ni mmoja tu ni Lionel Messi
2026-10-08 12:31:30
47
junesixdejunior
Junēsix Juniơr :
Tafuteni watu wa mpira sio mashabiki wa timu
2026-10-08 12:47:13
5
abrahamujangala
Aby :
huyu jamaa ni public speaker, a good influencer.
2026-10-08 11:40:44
15
m.kayumba.jr
𝙆𝘼𝙔𝙐𝙈𝘽𝘼☔☔ :
Wazee wametulia tuliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii yan kama vile awajawah kusikia kit messi
2026-10-08 11:23:58
15
bedajuniour77
Beda juniour :
A man of action normal has no more talk 💪💪💪💪🙄🙄
2026-10-08 13:08:27
1
trasco.machalla45
🌴Trasco vibes👑 :
Leo Messi Repost Your Video
2026-10-08 14:19:21
0
elly.jordan
𝚂𝙰𝚒𝙽𝚃⛎ :
Mungu wa Messi ni Mungu wetu pia
2026-10-08 12:49:48
9
abuuahmad_98
abuuahmad :
miraji hapa unatupiga za uso mana messu n lamasia boy mean kaanza kucheza lamasia then akapandishwa senior team
2026-10-08 13:30:22
1
big.balozi
Big Balozi :
uongo sanaa
2026-10-08 11:50:45
3
v542796
Ťřãvíş :
CHAGAMBA
2026-10-08 13:59:56
1
abdulrahmani6839764
abdulrahmani🌹🌹🌹 :
huyu jamaa amecheki ile documentary ya messi😂😂😂😂
2026-10-08 12:11:27
12
10allalone
BACKBENCHER :
Messi the GOAT
2026-10-08 12:48:49
2
newman92
TATA BM🦅🇹🇿(Newman) :
Huyu jamaa anamfatilia mess sana
2026-10-08 11:40:16
5
yassir0615
Yassir06 :
kumuona
2026-10-08 11:26:42
6
sankey811
SANKEY :
ila chagambaa😂
2026-10-08 12:17:54
2
meshackjackson143
meshack jackson :
kaka miraji unajua sanaaaa🔥
2026-10-08 11:24:10
6
torenza_67
Hãñsi_😎 :
chagamba ni nyingi kuliko historia
2026-10-08 13:19:22
0
thomasfideris
maestro 8 :
safi
2026-10-08 11:43:07
3
paulichazzy354
Pauli Chazzy :
Milaji milaji
2026-10-08 12:10:30
2
victornassary9gma
toxic boy💀💀 :
2026-10-08 12:11:19
2
fordio21
Ford Twenty One :
GOAT
2026-10-08 11:08:12
4
heissamyt
s a m :
chagamba🤣
2026-10-08 11:53:03
0
To see more videos from user @sportstip24, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About