@sportstip24: Ronaldinho Gaucho aliamini Messi ataziba pengo lake, nani ataziba pengo la Messi? Miraji amkataa Yamal! 🇦🇷⚽ Stori za viwanjani na vichwa vya habari vya kusisimua haviishi kwenye soka letu la kijiweni! Wewe una mtazamo gani kuhusu maoni haya ya Miraji kumkataa Lamine Yamal kuchukua nafasi ya Messi? Dondosha maoni yako hapa chini! 👇 📱 MBONA MOBILE ACCESSORIES: 🔥 Pata vifaa bora vya simu, LCD na huduma za ufundi kutoka kwa wataalam. Tembelea ukurasa wao sasa 👉 @mbona_mobile.tools.and.lcd 📱 Fuatilia habari zaidi hapa: Instagram: @sportstip24_ na @bettingbrain24 Tovuti Rasmi: sportstip24.com #MirajiMaramoja #Sportstip24 #BettingBrain24 #Ronaldinho #LionelMessi #LamineYamal #Barcelona #SokaLaDunia #Kijiweni