@habaria_afrika: Sasa Mwigulu wewe umetuma vibaka wakanitafute Nairobi wakati mie wameniacha huku Temeke, hao vibaka waliokwambia wanajua ninapoishi wanakupigika hela bure maana kama kweli wangekuwa wanajua nilipo wangekuwa walishaniuwa kitambo sana, wanakula hela zako na watarudi mikono mitupu.😂 Halafu unahangaika na mie kwani mie ndo nilikutuma ukalale na mtoto wa mwaka 2000 au mie ndo niliyerekodi hizo video??? - Ameandika Hilda Newton, wa Chadema.
Aaaah kumbe ni siasa acheni utoto kuchafua viongozi wetu hivi unafaidika na nini kwa hili linalofanywa
2026-10-08 17:50:50
3
Hamis Ramadhan :
na utakamatwatu
2026-10-08 18:58:34
0
Lutengano Mwakisopile :
anataka kulukamata wakati anasema ni AI Ile sasa kama ni AI si aiache tuu
2026-10-08 13:58:28
3
am14578 :
Hilda Newton hivi yule mwanae mchanga kipindi kile mama mkwe analalamika kumtelekezea akiwa ananyonya kwenda harakati za siasa alimwachia nani?
Anaendeleaje yule mtoto yuko naye au alitelekeza kimoja ?
2026-10-08 13:15:17
3
Ezbon Elisha :
🥰🥰🥰
2026-10-09 06:32:34
0
Ted Silkiluwasha :
😁😁😁
2026-10-09 19:04:49
0
To see more videos from user @habaria_afrika, please go to the Tikwm
homepage.