@bongo_media: Zaiylissa amedai kuwa hadi sasa yeye ndiye anayemdai Dulla Makabila pesa ya mahari, akieleza kuwa kiasi hicho hakikukamilishwa kama ilivyokuwa imekubaliwa. Zaiylissa amesema licha ya wao kutokuwa pamoja kwa sasa, suala la mahari bado halijakamilika, hivyo kwa upande wake bado ana madai hayo dhidi ya Dulla Makabila.

BONGO MEDIA
BONGO MEDIA
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 08 October 2026 11:14:09 GMT
45853
1744
5
7

Music

Download

Comments

tauhida2696
@idah2696 :
kama unakopwa ww usituchanganye dini nzima
2026-10-08 13:15:54
1
stera.ngoso
Stera Ngoso :
kwerliiii inakopwa
2026-10-08 14:37:36
0
mummy.comkenya
Mummy.com.KENYA :
❤️❤️❤️
2026-10-08 11:57:36
1
chrisrinefatty869
christine fatty 14k :
😂
2026-10-08 14:03:33
0
la.bell.merry
Labell merry :
🥰🥰🥰
2026-10-08 14:29:44
0
To see more videos from user @bongo_media, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About