kazi ya dhahabu ni kuhifadhi thamani ya vitu, katika soko la dunia fedha yote huongezeka kwenye mzunguko wa kifedha kupitia uchapishwaji,sasa hiyo hupelekea kupanda kwa bei kwa vitu kwakua vitu itabidi vipande bei ili kulingana na kiwango cha pesa kilicho chapishwa, sasa dhahabu hubakiza au hulinda thamani halisi ya hizo bidhaa hivyo wakiongeza uchapishwaji wa fedha vitu hupanda bei kuhakisi fedha zilizochapishwa na dhahabu huifadhi thamani halisia ya hivyo vitu nje ya fedha katika soko la dunia
2026-10-08 21:07:53
6
eman :
umewaza vizuri, subiri utapata majibu๐๐๐
2026-10-09 13:03:27
0
DASTERNDISMAS6 :
UNACHOKITAFUTA UTAKIPATA
2026-10-08 16:39:43
2
airene๐จ๐ฉ๐จ๐ฉ๐จ :
sio aiju ni ajabu๐คฃ๐คฃ ili ulisema hauta isema kama unazaabu alafu umesema zamani ๐๐๐kwishaโบ๏ธ
2026-10-08 15:03:21
6
DJ p-d pro :
kukuingizia na kuingiza apo ndo kuna tatizo kaka ๐๐๐๐ hatar ๐๐๐๐๐๐
2026-10-08 14:41:08
6
zannyb12 :
bora na ww umewaza
2026-10-08 19:21:43
1
Godzilla :
mimwenywe namikaaa nachimba laki sijui wanatengeneseann๐๐๐๐au nyuckilia๐ฅบ๐ฅบ๐ฅบ
2026-10-09 08:38:56
1
afya_imara :
GOLD IS ENERGY
2026-10-08 20:57:51
1
tommyclassic4 :
alf unaskia kuna mtu anasema anamchukia mzungu kuja kututawala ...na hao ndo wameipa thaman ionekane n ktu ya maana sana dunian ..sis tulkua na dhahabu na hatujui tunaifanyia nn ..bdo nawaza
2026-10-09 18:24:16
2
msigwa Abery :
๐ Pete, mikufu, bangili na hereni
๐ช Sarafu na vitu vya thamani
๐ฑ Vifaa vya elektroniki, kama simu na kompyuta, kwa sababu hupitisha umeme vizuri na haishiki kutu kirahisi
๐ฆท Baadhi ya vifaa vya meno
๐ฆ Huhifadhiwa pia kama mali/uwekezaji.
2026-10-08 20:06:36
1
NESTAR TZ :
tutakufatiria kumbe unayo zahabu
2026-10-09 05:36:08
0
Ablood Vvessal :
nashindwa kuelewa
2026-10-08 19:51:26
0
Balaa๐น๐ฟโ๏ธ๐จ๐ฉ :
๐คฃ๐คฃ hua kajiuliza ivo ivo
2026-10-08 19:31:25
2
lomy_star๐ comedian :
niaibu Yani niaibu ๐๐๐๐๐๐๐
2026-10-08 15:24:11
8
Dr philosophe nande :
:Mi kwa mtazamo wangu, na maoni yangu, nadhani inabidi niweke sawa kwamba kwa maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa sina cha kusema maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoMi kwa mtazamo wangu, na maoni yangu, nadhani inabidi niweke sawa kwamba kwa maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa sina cha kusema maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa sina cha ku
2026-10-08 14:17:10
1
๐๐ฌ๐ฆ๐ข๐ฅ๐ ๐๐จ๐ฒ๐ :
sijui uliza samiha
2026-10-08 13:57:51
2
rameck :
watueleze jaman
2026-10-08 14:15:56
2
Amani Mukire :
madini yanayopaswa kua nq high price ni coltan hakuna injini wa mashine yeyote bila coltan madini yanayoweza kuweka umeme
kama betri....
2026-10-09 13:23:31
1
emmanueljoseph0951 :
nashindwa kuelewa
2026-10-08 19:06:57
2
chande magiabox :
Oya upo nje ya mtazamo wa kawaida
2026-10-08 13:54:22
1
To see more videos from user @lomy_star, please go to the Tikwm
homepage.