@zanzibartoday: Maafisa wa baraza la Manispaa Mjini wanaendelea na ukaguzi kwa wafanya biashara kwa kukaguwa mazingira ya usafi wa chakula pamoja na sehem za biashara katika ukaguzi huo kumebainika kwa baadhi ya wafanya biashara kutumia mafuta ya kupikia kutumika mara kwa mara jambo ambalo ni hatar kwa afya ya walaji Razina Abdallah Rashid Afisa wa Afya kutoka baraza la Manispaa mjini amesema utumiaji wa mafuta hayo si salama hivyo amewataka wafanya biashara kuacha kuupikia mafuta zaid ya mara moja

Yassir El Bahsaany
Yassir El Bahsaany
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 08 October 2026 11:34:58 GMT
31314
505
112
232

Music

Download

Comments

bahat.abassi
Bahat Abassi :
Bado ujanishauri mwenetu yani mafuta nipikie mara 1 alafu nikamwage sio kweli
2026-10-08 15:53:28
20
widoprince2
@wido prince :
Kabla hamjampa barua ya kulipa faini mlitoa elimu kwa wafanya biashara wavyakula juu ya suala ilo ? km hamkutoa elimu basi mpeni onyo kwanza maana kisa nilakwenu ata majumbani icho kitu kinafanyika maana watu hawajui.
2026-10-08 18:19:51
2
mymomismyevrthing
Ruthainah :
jamn uongo.majumbani utumie.mara.mojaa hapana inabid ukangee chips alafu uyamwagee au😂😂
2026-10-08 14:32:46
8
hashilhashil82
hashilhashil82 :
maisha magumu biashara zenyewe hazielewek mpk kufikia hvyo mtu unampiga na fain ili aache kufanya biashara mpeni elim acheni tamaa
2026-10-08 15:57:43
8
officiallove991
official ❤️ :
njooo kwanguuu ukayangamizeee jmniii🥺🥺
2026-10-08 16:49:23
0
yeye_eh
yeye_eh :
Afisa wa Afya anasema mafuta hayafai baada ya mara mbili za kukaanga. Huu ni uongo wa hali ya juu. Aibu
2026-10-09 07:41:53
1
husseinazizi600
Abu nurati :
Itabidi tugawane hiyo faini maana nimekula hapo zaidi na zaidi 🤣🤣
2026-10-08 16:31:08
1
ayoush_shumellyah
Ayoush_shumellyah :
Ttz si kuwa kiafya jmn si Zanzibar wala Tanganyika jmn njaaa ndo inatupa maradhi si mafuta wala nn serikali iondoshe njaaa kwanza ikiondoka njaaa mmb hayo hayataonekana
2026-10-08 18:50:23
1
user2150642384
Maestro :
Ninayo tokea mwak jana
2026-10-08 17:12:19
1
yussufabeid4
yussufabeid4 :
hlooo kwakweli patent sanaaaaa hpo nawapongezaa seriklii
2026-10-08 14:19:09
2
midd795
Keys :
Manispaa pitienu sehemu zote za machipsi kuku na Haya ma restaurant kila kona mpaka online wanauza serikali ifatilie wanatuharibia wenetu mavyakula hayaeleweki maradhi matupu
2026-10-08 13:46:29
1
fatmazubeir7
fatmazubeir7 :
Nd tuxeme uko kwako unatumia mara moja Tu?[Tears of joy]
2026-10-09 03:47:58
2
totalcrazy3
Low Profile🛞🚨 :
Huyu yeye kwake anafany anacho kisema
2026-10-08 15:57:41
1
mariamu6190
MARYAM :
muhe shimiwa tarifa nina hoja naomba kusikilizwa kitu chengine wale wanafunga chapati kupitiya magazeti nayo ni mbaya kwa afya 🙏
2026-10-08 16:14:01
1
masoudchudyalbatt
masoudchudyalbatt :
Mara moja kwel😂😂😂
2026-10-08 14:19:34
1
user5474100372149
bela :
Uziri ni msafi 🥰
2026-10-09 05:56:44
0
simai.nasour
Simai Nasour :
mulipita mkampatia elimu mwanzoni au mnakimbilia tu kumpiga faini?
2026-10-08 13:53:28
0
mymomismyevrthing
Ruthainah :
me chips za kununua siziweziii kwa sababu ya mafuta labda kuna sehem mafuta yao mazur ndio nanunua kwa bavuaii
2026-10-08 14:33:31
2
user8121017243690
lady shuu :
mliwapa elemu kwanza kuhusu utumiaji wamafuta yaliy pikiw inafaa kwa muda gn
2026-10-08 19:56:02
0
issa.abdallah7
Issa Abdallah :
shida sio kulinda afya shida ni faini
2026-10-09 10:45:28
0
aymangmd1e7
Aymanmapishi/henna :
MASHA-ALLAH ANAPOPIKA PASAFI KOSA LAKE NI MAFUTA TU
2026-10-09 11:05:37
0
mshirazy.harith
Mshirazy Harith :
Ss hapo tutakuwa tunauza chips au tunamwaga mafuta tu 😂😂😂😂😂😂
2026-10-08 20:57:13
0
user9375530577270
winny malisa :
Naona jinsi nitakufa njaa, natumiaje mafuta mara moja jmn
2026-10-09 06:53:03
0
qweeny_deedah
️ :
kwann hio fain wasipewe walokula , akalipe serikalini 😳😳
2026-10-09 01:06:20
0
ngasacow
ngasacow :
vzur
2026-10-08 14:00:41
0
To see more videos from user @zanzibartoday, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About