@jojo.nyx5:

Jojo nyx
Jojo nyx
Open In TikTok:
Region: KE
Thursday 08 October 2026 11:48:13 GMT
126722
8162
378
202

Music

Download

Comments

dr.israel_1
Dr.Israel Backup :
the public minding their business is absurd 🤔
2026-10-11 06:16:35
1
ruthkimethu3
mama boyz🥰🥰(mumbui) :
i like how Kenyans have become strong
2026-10-11 05:00:38
276
salonist68
puritygift :
nasiutulize camera man [Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-11 05:32:10
0
ondiek54
ondiek :
for a moment there, I thought it was Awinja Nyamwalo!
2026-10-11 03:13:00
158
nirvammentalist
nirvam mentalist :
I like courageous girls
2026-10-10 22:25:51
144
user6374687429990
shazz Mirry :
hapo kware 😂😂 huwa wanatupa card alaf wanakuambia uokote
2026-10-10 21:57:02
189
josphattheuri207
Josphat Theuri :
police hawezi ona hii
2026-10-10 20:55:39
92
narokolengnarokol
Narokoleng Narokoleng :
that lady sounds like Awinja
2026-10-11 04:19:02
5
bestwatah
Best watah :
pin location kesho tuwafikie ni sunday
2026-10-10 19:17:38
45
mum2010mims1
annointed widow :
yaani kenya hata kama utauliwa, hakuna mwenye atasaidia😳
2026-10-11 06:23:48
39
peshpesh030
Peshpesh :
Mimi siwezi coniwa kitu Sina, ata 20 bob is always budgeted 😂😂hapo nayo they know people they con..
2026-10-11 05:48:47
1
lydiahkibirisho48
@Lee🦋 :
nishawai wapata hapo aty wametumwa na mike sonko 😂😂😂
2026-10-10 21:32:09
38
princebihaanbackup
prince bihaans backup🇰🇪😘 :
kuna siku wametupa card wakaniambia niwaokotee same place,kwenda kuinama ile kofi nliekelewa na rafiki yangu sijai heal😂😂😂😂
2026-10-10 22:14:58
123
nyarcharles02
Jahkey :
kuna time walitupa hizo vitu mbele yangu wakasema niokote nliwaambua sioni mimi ni kipovu
2026-10-11 05:13:34
34
daizydequeen
mdivah Mhot 🤟 :
mimi last Sunday walitaka kunishika before 🤣nilitoka mbio kama wazimu break nilipiga Doni railway station 🤣🤣
2026-10-11 09:22:05
6
lil.carooh
💝lîl_çårøl💝 :
😭😭😭i remember walinikula 500 I was confused 😕 nikama hukua na madawa
2026-10-10 20:48:06
0
johniemarsha1990
johniemarsha :
hata Mimi washai niibia Ka wanfifte[Tears of joy]
2026-10-10 22:25:23
1
crocks.by.atieno
Nyar Janet :
Hawa watu hukuita then wanakuambia wanafanyia mike sonko campaign , wako na mbogi zao hapo then wanapea mmoja wao 200 , mwingine 150 na wanakupea 500, then wanakuambia ama kama Uko na pesa kwa mpesa wanakuambia wakupee wakupee 7000 then uwapee 1500 so the moment you interact with them unashtukia ushawapea pin ya mpesa na unawapeleka hdi kwa nyumba,, na pesa Yao wanakuambia ushike na mkono ya left na hakuna kuangalia Mara mbili unafunika tu mkono ,, they did that to my friend,
2026-10-11 05:49:35
6
user3847628058432
Jackson :
thanks mama umefanya powa. mulika mwizi. wananchi nao wamenyamaza tu.
2026-10-11 01:08:08
5
itsyyvonne2
it's Yvonne :
na sii uyu ni class mate wangu jerida 😂😂
2026-10-09 14:42:35
15
user7978426301551
user7978426301551 :
ata mimi walinitupia card ety niokote
2026-10-10 22:00:49
14
rechoraybukachi
Recho Ray Bukachi :
Mungu akubariki you just saved a sister hakua anajua
2026-10-10 22:54:21
4
kbb032k1
Tutam :
sielewi , how to they con people
2026-10-10 23:30:08
5
peterojawayamwenyewe
Petero jawaya mwenyewe :
bado wako hapo tukuje
2026-10-10 19:58:55
5
0wnhoncho
0wnhoncho :
kwani hizo vitu wanatupa alafu watu wanaokota ziko na nini
2026-10-10 23:07:16
9
To see more videos from user @jojo.nyx5, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About