@sokoineu_: Maandamano ya kitaaluma yakiongozwa Brass Band yameingia ukumbini tayari kwa kuanza kwa Mahafali ya 48 ya Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA), Kampasi ya Edward Moringe, Morogoro. Leo, Oktoba 8, 2026, Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo kinafanya Mahafali ya 48, ambapo jumla ya wahitimu 3,309 wanatarajiwa kutunukiwa Shahada za Awali na Shahada za Uzamili baada ya kufaulu masomo yao. Kati ya wahitimu hao, watano wanatarajiwa kutunukiwa Shahada ya Umahiri ya Sayansi ya Takwimu za Kilimo (Master of Science in Agricultural Statistics), inayotolewa kwa ushirikiano kati ya SUA na Chuo cha Takwimu Mashariki mwa Afrika (EASTC). Aidha, wanafunzi 22 wanatarajiwa kutunukiwa Shahada ya Uzamivu ya Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo.
SokoineUniversityofAgriculture
Region: TZ
Thursday 08 October 2026 11:52:28 GMT
Music
Download
Comments
master plan2026 :
matofali mwambie lolote likukute kwa kuvurunga formation yangu ☺️leo ningegraduate🤣🤣
2026-10-08 16:25:49
5
user40768800853302 :
Mbona wazee wengi
2026-10-09 10:11:39
0
BI SHAMBA :
My fav Dr Lyimo 😊😊 dep of CS
2026-10-08 13:06:57
6
Jescah❤️🌸 :
Nimegraduate leoooooo❤️❤️
2026-10-08 16:47:16
2
trixpaty 💯💫✨ :
😁😁😁we are coming
2026-10-08 11:56:45
0
stella cute baby🥰 :
mahafari ya wanaomaliza degree trh ngapi
2026-10-08 15:28:35
1
Felistarbosslady :
dr chengula 👌
2026-10-08 17:02:16
1
LightnessJomba :
am just trying to find my brother 😂
2026-10-08 14:21:24
1
essa@ :
dr ANNA🥰
2026-10-08 12:44:35
1
carry 🥰💦 :
Dr mbije
2026-10-09 11:47:32
0
BID BEAUTY 🎀 :
Itschokwadi 💃 💃 🎶🎶
2026-10-08 13:46:03
2
Euphrazy :
nimejisikia vizurii sana kumuona Dr Tarimo , RG mwenyew, nashukuru sana Dr
2026-10-09 15:03:30
0
KeshoFarms Department :
Dr kilasi,Dr lymo, Jennifer carol 🙋
2026-10-08 14:23:44
1
17marie36 :
Gigwa yukwapi
2026-10-08 15:53:19
0
ivan jr :
kwa heshimaaa💪💪💪
2026-10-08 17:56:24
0
mumy nana :
congratulations
2026-10-08 14:02:04
1
academia.asoft :
Mahafari imefana..🔥🔥🔥
2026-10-09 08:03:49
0
annasikany :
woooow
2026-10-09 06:26:42
0
KeshoFarms Department :
I see my lectures there. I'm proud of you
2026-10-08 14:21:57
0
Tony genius - official :
kuna lectures bas tuu 😔
ull pay 1 d
2026-10-08 14:17:39
0
sijamuona dr. akioooo🔥😏😏😏😏
2026-10-08 12:21:56
0
sabunijr :
phd
2026-10-08 15:38:10
0
BF Mosh :
RG😊
2026-10-08 17:05:07
0
Bin_Hassan99 :
Dr Chengula
2026-10-08 13:06:53
1
Official~maskinijeuri 😄 :
may your soul rest in peace leo na we unfekuwa unagraduate na wenzako but Mungu kakupenda zaidi bro R.I.P DAKTARI MKULIMA
2026-10-09 20:06:28
1
To see more videos from user @sokoineu_, please go to the Tikwm
homepage.