Ni kweli hapa kwenye ligi yetu Captein wote hawajui maana ya wao kua Captein.
2026-10-10 04:56:19
17
user awena salum :
kweli kabisa
2026-10-10 21:54:27
6
HOPE :
mohamed husen ni yanga long time
2026-10-11 06:35:25
2
BABU :
kwani kwenye 5 Chanuo hakuwepo?
2026-10-08 16:37:00
4
Saad Mgwami :
na steven gerald ndo mfano wa captein
2026-10-11 11:49:27
0
Makena Makena :
Daaah nshamsahauu
2026-10-11 12:05:17
0
Xhaka boom🎶⚽️💶 :
Mpka kanavalo
2026-10-10 20:04:27
2
GOD FATHER :
the capitano
2026-10-10 06:58:45
0
Jeremy John :
captain ni mwanachama
2026-10-11 07:02:02
0
Khalid Samson :
kweli kabsa alituuza
2026-10-09 11:56:25
2
Kenish Berish :
2026-10-09 06:59:21
1
charles :
humor sharara
2026-10-08 14:49:04
0
Amani Omary :
kwl kak
2026-10-09 10:26:18
0
T.NO.6 :
Achana na Totti, na wajaribu kumuangalie Recce Jemsi,bado umri wake ni mdogo lkn analibeba jukumu na anaamini kwamba yy ndio mwenye jukumu la kuipambania Chelsea
2026-10-10 04:58:16
2
Ngasa1993 :
achen lugha kali kwa wachezaj wen, chama mlimsema vibaya mara duka mara anauza mechi leo uyoo anawasaidia, mashabik wa smba achen ushamba wa kuwachafua wachezaj wen
2026-10-08 14:21:48
1
RObby :
papaa jonh bocco
2026-10-10 22:02:49
1
michaelmario8338 :
kulia ni kucheka tu
2026-10-09 06:25:39
0
chobwedo :
umeongea kwelii m2puuui
2026-10-11 09:53:01
0
Ramsey Junior :
ila kwel bongo njaa inafany wakose misimamo
2026-10-11 05:53:55
0
♈️ :
jamaa amenyoosha sana
2026-10-11 02:38:12
0
martinmyamba :
🤣🤣🤣
2026-10-11 05:08:02
1
B bless tz🦜 :
🤣🤣🤣
2026-10-11 04:47:09
0
To see more videos from user @deekhan_3, please go to the Tikwm
homepage.