Cherry 🍒 hapendi drama sidhani kama atajibu. 🙌 Msinishambulie siko upande wowote
2026-10-08 12:52:55
129
beauty point geita :
ila munno hivi vitu havikufai kbsa achana navyo
2026-10-08 19:30:56
20
Ms_Dotnata ♈️ 🦋 :
So ulitaka waseme bado wako hapa ili wauwae ama I didn’t get your point ilikuwa ni sawa tu kutoa details za uongo kwasababu ya usalama wao na hata kuomba msaada ilikuwa ni sawa kwasababu hawezi kutoka hadharani kutafuta chakula jmn wewe dada Mimi nakupendaga Ila kwa Leo sijaona point
2026-10-08 12:56:19
129
Ovs Aqua supplies :
Tulimpa kwa Upendo hata Leo akisema tunampa tena kwani kuna shidooo
2026-10-08 18:55:20
70
Vick Kukupoint~Mwanza🐓🐓 :
Hawa walim wa kiroho huku mtandaoni wanatumia mda mwingi sana kutufanya kuwaamini sana ajabu ni kwamba Leo tu drama ndogo unafanya nisiamin hawa watu yan mtu kila full moon anakwambia achilia alaf a nashindwa kuachilia watesi wake aisee💔
2026-10-08 20:53:48
46
A L P H O 🦋 🐝 :
Okay, but una speak from hate… it seems like its more personal between you two. Leave us alone with the drama eeey
2026-10-09 08:00:38
22
gjossam@ :
ulkua wap siku zote izo dada. kwann sasa
2026-10-08 13:53:04
44
Jesus daughter, Yeremia 1:5 :
Ata Kama unasababu za kumjubu mtu Unatakiwa kukaa kimya. Uwezi jua Mungu atakukutanisha na mtu uyo kwa namna ipi ?
2026-10-08 13:02:03
22
Brown Angel wholesale 💸🦋 :
Sasa mtu anayekimbia kisiasa unajua taratibu zake za kutoka nchini kwake akiwa anasaidiwa na mashirika za haki za binadamu..?
2026-10-08 16:54:53
13
user3943904242946 :
Mnaharibu vitu mlivyo tufundisha jamaniii wht kind of energy is this sasa??