@mwangomile_: Replying to @richmondr25 @last_bornoya wee mama kanikataza nisicheze na wewe nani anakumbuka iyoo #tiktokkenya #tiktoktanzania🇹🇿 #mashabikizangu🙌

last_born
last_born
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 08 October 2026 12:52:16 GMT
69391
6221
252
120

Music

Download

Comments

mwangomile_
last_born :
😂nani anakumbuka
2026-10-08 12:52:36
86
ayubu.banda
banda boy :
nakubar kaka unanisanua kichizi
2026-10-08 17:15:56
3
kimanzimabegani2712
KIMANZI MABEGANI :
RESPECT BRO
2026-10-15 13:27:11
1
user739687971388
Cole freezy :
malizia Ile ya finali ya mbuzi aloibiwa
2026-10-08 13:30:45
33
user8843361545787
Mr.Excellence :
brooo salute
2026-10-08 13:36:25
7
khanay305
khanay :
Yan dah najikut n hisia kubw nnap skiliz story zk
2026-10-11 13:55:38
3
officialgn1
🅶🌠🅽🧠 :
umemikumbusha mbal San familia
2026-10-08 13:58:11
3
jamaica.elisha5
kid Jamaica 🇯🇲🇯🇲☠️ :
nakubali storizako mze
2026-10-08 13:02:32
7
lmimy123
Mimy💞💞💞 :
mm yaan daah msicheze na wale wanawafundisha tabia mbaya😂😂
2026-10-10 17:56:54
2
norah2199752988250
Nory 🥰🥰 :
njoo tena iringa jamn🥰🥰
2026-10-08 17:23:41
3
mrs.mwa75
mrs mwa :
Mimi kbs yan Mpaka nikaitwa chokolaa mbele ya macho yangu daaaah weeeh acha tu
2026-10-08 16:10:16
2
gustavoo0711
Andrea pirloᥫ᭡ :
naikumbuka iyo ila weee jamaaa
2026-10-08 13:11:59
1
ishatz4
@isha :
nilivyosikia umesema biki nmekumbuka mbali
2026-10-08 15:55:47
1
fine_aysher
fine_aysher :
Me sauti tuu bff😂🙌
2026-10-08 13:58:33
3
agnesoitform
Lee Q :
we Acha tuu tuliombiwa tujuane bas tuliokaa chin ili tuangalie TV bila kusahau kunawa miguu
2026-10-08 13:28:24
1
betinajuma391
betina 💕💕💕🤟 :
me Jana TU nimeambiwa Ivo
2026-10-09 12:03:32
1
lorenzo.morgan306
Lorenzo Morgan :
daah mimi nimepigwa sana kaka nimechapwa sana mzeee
2026-10-08 13:05:05
0
littlesabby0
Little gal🤎🎀 :
wema tunalipa na ubaya tunalipa last born✌️
2026-10-08 16:19:30
3
queenorg
Queen 👑♥️♥️♥️ :
nmekufollow sasa jmn🥰
2026-10-08 13:35:13
0
its.sallyboe
𝕾𝖆𝖑𝖑𝖞𝖇𝖔𝖊 ☠ :
izi nyumba ntazipata wap
2026-10-08 16:50:23
2
racheljulius055
Queen Voice :
na Mim wazazi WA Rafiki zangu pamoja na baadhi ya walimu walikuwa wananiona nawaharibu wenzangu mwisho WA siku wao ndo wameharibikiwa🤣🤣
2026-10-09 05:55:55
1
bhizzo_papy8
BHIZZO~PAPY💙 :
asubuh ilikuw ina views 200 now 19.4k😂😂kwl wat mnapenda story
2026-10-08 18:25:35
1
harunimwaisumbe0
haroun phone service's :
happy Kaka umenisema mimi huyo na meaning mmoja wa kuitwa Humphrey mwasulama hii life hii dah
2026-10-08 18:25:29
1
its.real431
It's real. :
😂😂me nilifukuzwa nikanawe miguu nikarudi wamefunga mlango 😂
2026-10-08 13:07:53
3
johnsonbullet4
johnson bullet :
broh nina ushahidi wa hiki kitume mwenyewe kwenye ukuaji wangu nimepitia sana sababu nilikuwa sisikii sana lakini cha ajabu me nimekuwa wenzangu waliokuwa wanaonekana bora wao kwa sasa wamekuwa wezi mateja na kila ujinga wanafanya
2026-10-08 13:57:28
1
To see more videos from user @mwangomile_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About