hahaha huyo Mimi 2020 nilikuwa Sili had afike siku moja nika mpigia simu ukowap saa nane aka nijibu nipo na kunywa bia Wana wake Wana ning'ang'ania huku nika sema kwisha hapo kweli pemben na sikia sauti flan usituache [Laughing][Laughing] ndan aliacha konyagi nilipiga chupa nzima nika jikuta nimelala had asubuh kumbe alikuja aka gonga mlango saa tis sikusikia aka Rudi alipo Toka [Laughing][Laughing] tokea pale nika mtoa moyon nikipik na kula na lala alivyo ona si muulizi Tena uko wap aka sema nime mpata wa kunituliza [Laugh approved] R.I.P Ile ndoa[Laugh approved]
2026-10-09 09:51:12
4
Rehema Charles :
nimegundua siko peke angu bora tu nivunilie ndoa comment zinaonyesha wote ni walewale🤣🤣🤣🤣🤣
2026-10-09 14:32:40
1
Zai wa mau :
Atasubiri sana🤣🤣🤣🤣🤣
2026-10-08 20:16:35
3
Neema Jonas :
Kwani kaenda na tumbo langu
2026-10-09 13:21:49
0
Zai hair store 💕 :
😂😂😂 Ila ndoa🙌
2026-10-08 21:18:05
1
swammy 🔐🌺🥰 :
alf kun mm ss nikiivisha2 nakula😄😄
2026-10-09 05:15:44
0
Momy 🤱Ayman❤️💦 :
uyo n mimi namsubr had sa8 usiku apendi kula peke yake anajasirik kwhy nakulag kidig nisishibe alf nmdubr😂😂 ndoa tamu
2026-10-08 21:37:42
0
ANGELA BUKWIMBA :
tulishatoka huko kitambo jaman yaan unakonda ukimsubkri mtu mara aje saa 8 mara aje saa 8 looh
2026-10-10 07:24:33
0
NILLAH🥰 :
kwan mnawezaje mambo hayo
2026-10-09 14:10:38
0
lucymwinami34 :
atasubir sana
2026-10-10 08:32:15
0
prominah@10 :
siwezi ngonjea mungu na ningonjee binadamu not me 😂😂
2026-10-09 18:23:33
0
Mideko :
😃😃😃😃 ila ndoa
2026-10-09 17:01:04
0
diana❤️🦋 :
na akirudi utasikia anakwambia nimeshiba😂😂😂
2026-10-09 17:54:30
0
faith mutheu :
usinikubushe nshaa mgoja adi asubuhi alitoka job na akaeda Kwa mtu wake na akazma simu😭😭
2026-10-09 18:22:24
0
user6160249526980 :
Nimecheka kwasauti
2026-10-08 16:31:06
0
miss_annely✨ :
hahaha ilaa haya mambooo
2026-10-09 09:20:46
0
nusra Ponda :
hahahhahah
2026-10-09 10:33:32
0
🤫 :
pigaa vigeregereeee tafadharii🥳🥳🥳🥳
2026-10-09 15:41:13
0
Eflasia Ngailo :
mimi wangu anakuja kupiga mswaki. nakubadili nguo maana. anakuja saa kumi namoja. kasoro
2026-10-10 08:38:31
0
Edina :
Ata subir sana
2026-10-09 13:15:33
0
Dorcas James :
yani niachekula namsubiri Azam tv saingine hatoa burudani kwa wote uko
2026-10-09 14:10:41
0
Miss :
2026-10-09 16:16:26
0
To see more videos from user @funnymedia1213, please go to the Tikwm
homepage.