@denis.masolwa: NYUMBA MPYA NA KALI ZA KUPANGISHA KIGAMBONI DSM 🔥🔥🔥👇 📍 GEZA JUU KIGAMBONI DSM € Vyumba viwili apartment, sebule na jiko € Umbali kutoka lami ni mita 100 tu € Bei ni laki nne 400k tu kwa mwezi € Malipo ni miezi 6 ndugu mteja € Ni apartments 4 tu ndani ya fance € Nyumba ni mpya kabisa hazina mkosi wowote Zina baraka zote za maisha ☎️+255789092814/Whatsapp #fypage #denisdalalikigamboni #fyppppppppppppppppppppppp