mimi niliachwa talak mbili kwa wakat mmoja je inahesabika moj ama mbili na mwanz alishanipa moja je anapaswa kunirudia ama laa nipen fatuw ya hili
2026-10-08 18:22:36
0
Shakira ashimu❤️ :
Bora yeye kauliza mimi niliekewa kijembe stutas 😅😅😅nikajua mume anaenda kuoa 😅😅😂
2026-10-08 17:47:25
3
MDY🇸🇦🇴🇲🇹🇿 :
nimeachana na mume wangu Kwa taraka mbili Mimi niliomba kutokana na sababu zake yeye huu mwaka wa tatu ila bado tuna pendana je tunaweza kurudiana
2026-10-08 14:51:36
2
ally fujo1 :
na n Sawa kuoa mke WA pili bila kumshauri Moro?? na vp kama utamshaur na akatae
2026-10-15 06:17:13
0
khadija 😍 :
mimi na mumewangu tumeachana tokea 2020 ad 2026 lakin akunipa talaka na tulifikia amalize mahali ilindo ajetupeane talaka ndo ad leo je apo naweza kuolewa tena na mtu mwengne?
2026-10-15 09:54:50
0
rafinho :
Shekhe sisi naomba hii mada uirudie hasa kwenye angle 2 ambazo ni
1- Mwanamke kuelewa kua hili jambo ni sheria ambayo imewekwa na Allah na hapaswi kulipinga hili na
2- Mwanaume juu ya kua Muadilifu kwenye ndoa ya mke zaidi ya mmoja, hapa tunaambiwa UADILIFU, wanaume wengi hatuna uadilifu naomba @shekhe Amir Kasonso
2026-10-09 08:19:07
0
Malkia :
Ampe zawad maana ni dalili ya kwanza mkewe anampenda [Heartwarming]
2026-10-08 16:56:27
1
mamyabdull :
Muulize Tena 😂😂🤣🤣
2026-10-08 14:48:55
1
dada :
je mm nimeachwa talak mbili kwa pamoj inahesabika moja ama ni mbili na mwanzo alinip moja je anruhusiw kunirudia ama laa naomben fatwa ya hili
2026-10-08 18:24:15
0
sumaju86 :
Mwenyezi Mungu nisamehe Kwakwel ila kuzaliwa mwanamke kweny hii dini ni kazi sana yan ukiolewa mda wote unakua na hofu🙌 mkipishana kidg tu unatishiwa kuongezewa mke… Mwenyezi Mungu atujalie ujasiri wa kukubaliana na uhalisia aseee ni ngumu mnoooo
2026-10-09 05:08:00
0
user44797153177316 :
mim nataman aoe hata leo
2026-10-08 15:22:28
0
Mully Collection :
kibao ni kidogo,Hilo ndilo wajualo
2026-10-08 17:10:06
0
Yusra Shekibua :
tangu uolewe hata kijora mahali yako hajamaliza mda huo unamuuliza watt hajui watashiba kweli hujatwangwa kibao kuna muda unaona kabsa huyu anakimbia majukumu
2026-10-09 04:12:24
0
Mrs N🇴🇲 :
mm sikatai mume kuowa mke wapili lakini anilipe kibunda cha hela
2026-10-09 11:23:56
0
Princess M :
Wastahili hicho kibao[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-08 19:23:11
0
bimzuri6 :
😂😂😂😂@Dee chioma🍓🇹🇿 @Naah🦋 vibao vitawahusu
2026-10-08 18:33:43
1
Ai Mujarrab.tz :
😂😂😂
2026-10-08 14:46:52
0
aminajuma766 :
😂😂😂😂😂😂
2026-10-08 14:48:21
0
idrisamengo :
[Perfect score][Perfect score][Perfect score]
2026-10-08 17:19:22
0
mankashoo2025_shoes kariakoo :
😂😂🤣🤣
2026-10-08 17:45:25
0
SALHAT VIPODOZI TZ 🇹🇿 :
😂😂😂
2026-10-12 07:06:28
0
LINDA MGONGO😂 :
💯💯💯
2026-10-15 18:28:56
0
To see more videos from user @sheikh_kosonso.official, please go to the Tikwm
homepage.