@dost.media.tz: Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na wenye Ulemavu, Profesa Palamagamba Kabudi akizungumza wakati wa uzinduzi wa Uongozi Mpya wa Baraza la Vyama vya Siasa uliofanyika Hyatt Regency jijini Dar es Salaam, tarehe 07, Oktoba 2026. __ Fuatilia#dostmediatz kwenye YouTube Channel #DostMediaTz na tembelea website www.dostmedia.co.tz kwa Habari, Makala, Michezo, Burudani, Uchambuzi na Mahojiano. #dostmediatz #dosthabari
Dost Media Tz
Region: TZ
Thursday 08 October 2026 16:07:19 GMT
Music
Download
Comments
betsebadaudi :
chacha kaongea fact
2026-10-08 19:35:31
0
John Mgeta :
Si ukanushe tu maneno ya yule jamaa
2026-10-08 18:45:03
1
Life Fighter :
Mnatuchanganya Bwana
2026-10-08 20:07:42
0
susu :
Asante waziri
2026-10-08 18:12:50
0
user3175912903162 :
naipenda Tanzania 🇹🇿 ♥️❤️
2026-10-08 19:47:01
0
francis :
Chacha umemaliza kazi. Mali ya CCM.
2026-10-08 19:40:46
0
alphoncbuz :
muwalipe nyie xax xio munatuxumbua na kod zetu
2026-10-08 18:20:03
0
jjj :
huyu baba amelewa madaraka viongoz wengn si wapo
2026-10-08 18:47:38
0
Florid Fidelis :
anapingaje kati mwenzenu ndio kathibitisha
2026-10-08 19:01:07
0
peoples favourite :
nani mkweli kabudi na chacha
2026-10-08 18:58:17
0
Amir Dastan :
mmesha changanya mafile mana chacha kalopoka juzi tu ila kabudi ni zamani sana enzi za kamanda police alikuwa mambo sasa na sio mulilo
2026-10-08 19:13:15
0
To see more videos from user @dost.media.tz, please go to the Tikwm
homepage.