@t13tagata0: team zetu zilikwenda wapi 1~0 5~0 #tiktokindia #trending #tiktokviral #fyp #foryou @Mjomba_Kipara @Well Tagata @Official_Mwami👑 @Djuma Tyga @madam kajalafrida 🥰🦋💸💸💸💸 @@B.M @💎Kirasosa Boy💎 @🥷🦅𝐈𝐝𝐝𝐲 𝐌𝐚𝐩𝐨𝐳𝐢🦅🥷 @Arobauz greezly

T13 Tagata Nguvu ya Mtaa
T13 Tagata Nguvu ya Mtaa
Open In TikTok:
Region: BI
Thursday 08 October 2026 16:43:30 GMT
1241
145
7
10

Music

Download

Comments

khadidja.ismail
🌸Fleur rose🌸 :
Tuko na match guy’s tareh28/11/2026😂😂😂😂😂
2026-10-09 05:09:23
1
djuma.tyga
Djuma Tyga :
Kwakufirisika apo niuwogo Labda 5-0
2026-10-08 19:32:17
2
kirasosaboy
💎Kirasosa Boy💎 :
😂😂😂
2026-10-08 17:00:50
1
homeboy548
𝙷𝚘𝚖𝚎𝙱𝚘𝚢🦅🥷 :
Good speech Broo @bagayamblm95 🙌 I'm so stunned 😲 for real umeongea fact tupu.. but nikwaambie kitu @T13 Tagata Nguvu ya Mtaa Reaching the top is easy, but staying there is the real challenge, I hope you understand what I mean na hicho ndicho kilicho washinda ku maintain that level is really hard part. Kwa umaarufu mkubwa waliokuwa nao, kama wangeutumia kama fursa ya kibiashara siku ile, wangeingiza PESA ZA KUTOSHA na huenda hadi leo hii wangekuwa bado wako ON TOP. Sababu ni kwamba mtaji walikuwa nao, jina walikuwa nalo, na TREND ilikuwa ni yao! 🔥💯 1️⃣ MFANO — 1-0 👕🧢 Walitoa T-shirts na makofia, wakauza, na watu walinunua sana! Mimi mwenyewe nilikuwepo pale Ku-10, nilishuhudia watu wakija kununua kwa wingi hadi usiku. Hiyo ilikuwa ni fursa halisi ya biashara! 2️⃣ MATCH ⚽🔥 Siku ya mechi, mliona wenyewe jinsi watu walivyoitikia! Uwanja ulijaa watu kutoka sehemu mbalimbali za Buja, wakubwa kwa wadogo, watoto, Warundi, Waswahili, sijui hata kama Waarabu hawakuwepo! 😂😂 3️⃣ MITANDAONI 📱🌍 Mitandao yote ilikuwa ni yao! Kila mahali ukiingia, habari zao tu. Walikuwa na attention ambayo brand nyingi hutumia pesa nyingi kuitafuta. 4️⃣ PROMO 📢🔥 Mimi binafsi sijawahi kuona promo iliyotikisa mtandaoni na mtaani kama ile yao. Kama kuna iliyozidi hiyo, niambieni tuione! 5️⃣ RAMADHAN 🌙🤲 Iftar mlijionea wenyewe. Hapa hakuna haja ya kuelezea sana, maana watu walishuhudia kwa macho yao! Sasa JUST IMAGINE 🤔 kama wangeamua kutumia ukubwa ule kukuza BRAND zao, kufanya biashara na kujenga miradi ya muda mrefu. Kwa support na attention waliyokuwa nayo, wangeweza kujenga kitu kikubwa ambacho kingeendelea kuwapa faida hadi leo. Huenda hata leo hii bado wangekuwa wao ndio HOMA LA JIJI! 🔥👑 Lakini badala yake, SKENDO zikawa ndio BABA LAO! 🤷‍♂️Kwa hiyo, mwambie jamaa aliyeuliza maswali hivi: “INKWARE IVUNITSE IHURA N'UMWANA!” 🗣️🔥 Kurudi kwenye ile TOP si jambo rahisi. Ni kama AVION kupiga MARCHE ARRIÈRE — si kwamba haiwezekani kabisa, lakini ni kazi ngumu sana! ✈️💯 Umaarufu ni fursa, lakini bila mipango na nidhamu, unaweza kuupoteza. Kupanda ni hatua moja; kubaki juu ndiyo mtihani wenyewe! 🎯 @Mwami Wa Bana👽🇧🇮 @𝗠𝘁𝗮𝗮𝗻𝗶 𝗞𝘄𝗲𝘁𝘂📍
2026-10-09 01:03:02
1
To see more videos from user @t13tagata0, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About